Kwani uwongo...waraka umesaidia sana mbona...?
nipo, naskika hata maaskofu wa znz walikataa kura ya ndio na ndio maana wanakusudia kujiunga chadema.
Source: Annur
kwenye mkutano na viongozi wa kidini ktk ukumbi wa baraza la wawakilishi maaskofu walipinga watu kushawishiwa kutia ndio na nasikia walikuwa wakali sana: Source annur
kwenye mkutano na viongozi wa kidini ktk ukumbi wa baraza la wawakilishi maaskofu walipinga watu kushawishiwa kutia ndio na nasikia walikuwa wakali sana: Source annur
ununue tu na usome
kwenye mkutano na viongozi wa kidini ktk ukumbi wa baraza la wawakilishi maaskofu walipinga watu kushawishiwa kutia ndio na nasikia walikuwa wakali sana: Source annur
sasa kama rais wa nchi ashasema kura ya ndio inafaida, wao wanahofia nini? hawataki amani?
Sina hakika Mpuuzi anataka tuelewe nini kwenye neno lake la mwisho kabisa kwenye post yake bt kiukweli ni kazi kuishi na Waislam. Yahitaji moyo mzito wa uvumilivuMkuu una haki ya kutoa maoni lakini daaa!! Punguza kidogo ukali wa maneno. Hatufiki kihivyooo!!! Utambue kuwa wenye akili hiyo mbovu ni waislamu wachache sana hawafiki hata 5%. Mimi ninaamini anayeijua vizuri dini ya Kiislam hawezi kuunga mkono hicho kijarida bcoz kinachonganisha na siyo kujenga uelewano kati ya watu wa dini mbalimbali.
duhu, hata nawao husema hivyo hivyo kuishi na hao ni kazi
basi hata hivi vya maana,. duh pakitokea vurugu watafaidi nini?
duhu, kama unaakili hizo bora basi tena
MS na mwislamu mwenzao JK wanatugawa watz kwa misingi ya diniMkuu pamoja na kuwa nakubaliana na sentensi yako sioni kama kweli undani wako uko hivyo. Kwa sasa ndio inaokoonekana tunakoipeleka Tanzania, polepole tunaacha kuwa watanzania tunaanza kuwa wakristo na waislamu, this is sick. Watu wanakuja na sera za ajabu sana.
hiki kigazeti wandishi wake wenyewe wana ilimu ya madrassa tu,
harafu kimekaa kichochezi sana,
kwani waislamu/wapagani ni wengi hawana elimu bali wana ilimu tu
sasa wapi watoke wa kushindana na wenye elimu??????????????????
hii post haina tija...