bunge lifute upigaji kura wa sauti

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Inasikitisha sana bungeni pale mheshimiwa Tundu lisu anapotoa hoja zenye ukweli kuhusu mambo ya Rushwa lakini anapingwa kutokana na uwingi wa wabunge wa CCM.
Binafsi sidhani kama hii voting system kwa njia ya sauti ni realistic.
 
Back
Top Bottom