Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
Kwa hiyo kama siku hiyo hakuna maamuzi yeyote ni sawa tu bunge kuendelea hata kama kuna wabunge wawili Mrema na Wassira tena wamelala."Akidi kwakila kikao cha Bunge wakati wakufanya maamuzi itakuwa ni nusu yawabunge wote."Napenda kufahamu kwamba kulikuwa na maamuzi gani ya kufanya kulingana na Kanuni ya 77 (1) maana naona kuna maneno "wakati wa kufanya maamuzi?"