BUNGE LETU LA JMT NI KWELI LINAELEKEA hukoooo

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,089
Mtandao wa wavuti umetupatia picha hii ya mabala wa mabalaa, je? kweli ni ya Bunge Letu/ na ndio tunakoelekea
  • Mitusi ya Nguoni
  • Kukatika viuno ukum
  • Kuonyeshana vidole vya kati
  • Mwenye kigoda kutupa hoja za washim
  • vurugu vululuvululuuuuuuuuuuuu
 
Hii ndo picha halisi ya bunge letu! Wenye nafuu ni wachache na bahati mbaya hawatoki kwenye kundi la wengi
 
Back
Top Bottom