BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

Mi nafikiri tunapoongelea matatizo ya umeme tuanze 1994 when we had the first power mgao, huko nyuma we never had that prob na uzalishaji ulikuwa ukiongezeka toka MW 80 pale Pangani to vyanzo vingine vyote mnavyovijua
 
By FaizaFoxy
Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

mie nawasi wasi na urai wako faiza, au kwenu umeme upo full time or hujui kinacho shusha uchumi wa nchi yetu kwa sasa ni nini...? think wiser dadangu..!!
 
Kama Muhimbili kaweka mitambo, lakini hata kuchunguzwa afya tu JK na maofisa wenzanke serikalini wanaenda nje.
wanajua danadana wanazocheza kwenye mambo ya muhim,hivyo wao wanakimbilia kwenye nchi zenye marais na watendaji walio serious na kazi!
 
Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

  1. Maskini nao ni wengi kuliko awamu zote
  2. Wizi na ufisadi mwingi kulikoawamu zote
  3. Safari za rais nyingi kuliko marais wote
  4. Maisha magumu kuliko awamu zote
  5. Rushwa sasa imeshamili kuliko awamu zote
  6. Udini kuliko awamu zote
  7. Mauji ya polisi kwa raia mengi Tangu tanzania iwepo duniani
  8. Gap kati ya matajiri na masikini kuliko awamu zote
  9. Makundi mengi ndani ya chama na serikali ktk historia ya nchi
 
Magwanda mkichukua Ubunge wa Igunga ntajua kuwa 2015 mnachukua nchi, mkishindwa bora mfunge ofisi zenu, maana itakuwa ni washindikizaji kama kawaida.

Msipoiba kura si kama kawaida yetu tunashinda. Ila kwa uhakika hata tusipochukua jimbo bado 2015ni yetu maana CCM wakati huo itakuwa waliko KANU sasa hivi. Maana CCM sasa hakina kiongozi, toka aondoke Dr. Mkapa na Mangula kimekosa viongozi.
 
145 MW Agrekko, 100 Symbian, 300 Kiwira, 100 Wind power, nikuongezee zingine? hizo tu zimepita 600MW za kuanzia mkoloni mpaka anapochukuwa Kikwete. Au ulitaka awe kama Alladin na taa ya ajabu? akiisuguwa umeme huo! ikiwa wote kabla yake iliwachukua zaidi ya miaka:

40 Waingereza
20 Nyerere
10 Mwinyi
10 Mkapa =
Jumla Miaka 80 imewachukua Kuweka 600 MW.

Jee Kikwete ikimchukuwa miaka 10 kuweka hiyo 600MW tu kama ya wote hao, nani zaidi?

Lakini hapana, Kikwete kasema kabla ya 2015 over 2,000MW, hizo zaidi ya 600 mikataba tayari, mbali ya usambazaji ndio usiseme. Mnasema nini nyinyi? mdanganyane vijiweni huko sio hapa.

Hizo 2000MW za safari ama za umeme? ndio hizo mil 50 za Jairo alizochangisha kwenye taasisi ndo mnategemea kuwekea hizo? Wewe naona unapigania ubunge wa kuteuliwa ili ukagonge meza kule bungeni. Kikwete akiweza kuweka 2000mw mimi nahama nchi, haitakaa itokee hata siku moja kwani hata hizo 600MW ni za kwenye makaratasi tu hakuna practical proof. CCM walishazoe kutudanganya na wewe humu lazima utakimbia tu. Siku hizi hatudanganyiki imeanza 2010 naitazidi kuteremka ifikapo 2015 msitegemee graf ya ccm itapanda tena. Mnawafuata wenzenu KANU waliko.
 
Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

hebu sema barabara za lami nyingi ni zipi hizo? Ndo hizo zilizojaa viraka?
Shule zipi za sekondari zimeongezeka? Ni hizo sizokuwa na vifaa na walimu?
Vyuo vikuu gani ambavyo wamefanya kukonvert majengo ya sekondari na kuwa chuo kikuu? Havina walimu, havina vifaa vya kufundishia kama vifaa vya maabara. Hivyo ni vyuo vya kupigia kampeni tu halafu watoto wao wanawakimbizia nje.

Kliniki zipi hizo wakati akina mama wanalala chini hawana vitanda? ama issue ni kuongeza idadi ili watudanganye tuwape kura zetu?
Umeme sasa hivi ni hali mbaya kuliko wakati mwingine wowote. Ndo maana biashara ya magenereta imekuwa juu kuliko wakati mwingine wowote
Nyumba ziko wapi wakati naona walimu wengi tuanapanga nao uswazi huku? hebu sema wapi zipo?
Utalii wanauza zaidi wanyama nje ya nchi kuliko wakati mwingine wowote
Kodi mbona misamaha ya kodi imekuwa mingi sana? kodi yao wanategemea kweye mishahara ya wafanyakazi wakati huku kwenye madidi na wawekezaji wanamisamaha aise ni uchungu na aibu kwa CCM
 
Hizo 2000MW za safari ama za umeme? ndio hizo mil 50 za Jairo alizochangisha kwenye taasisi ndo mnategemea kuwekea hizo? Wewe naona unapigania ubunge wa kuteuliwa ili ukagonge meza kule bungeni. Kikwete akiweza kuweka 2000mw mimi nahama nchi, haitakaa itokee hata siku moja kwani hata hizo 600MW ni za kwenye makaratasi tu hakuna practical proof. CCM walishazoe kutudanganya na wewe humu lazima utakimbia tu. Siku hizi hatudanganyiki imeanza 2010 naitazidi kuteremka ifikapo 2015 msitegemee graf ya ccm itapanda tena. Mnawafuata wenzenu KANU waliko.

Mbona hizo zilizokwisha sainiwa mikataba ambazo ni zaidi ya awamu zote ukichanganya pamoja na mkoloni wao huzisemi?
 
  1. Maskini nao ni wengi kuliko awamu zote
  2. Wizi na ufisadi mwingi kulikoawamu zote
  3. Safari za rais nyingi kuliko marais wote
  4. Maisha magumu kuliko awamu zote
  5. Rushwa sasa imeshamili kuliko awamu zote
  6. Udini kuliko awamu zote
  7. Mauji ya polisi kwa raia mengi Tangu tanzania iwepo duniani
  8. Gap kati ya matajiri na masikini kuliko awamu zote
  9. Makundi mengi ndani ya chama na serikali ktk historia ya nchi

10. Misamaha ya kodi imeongezeka mara dufu (makampuni kubadilisha majina ndo dili)
11. deni la taifa limeongezeka
12. Umeme hauna quality ni poor sana kiasi bila kutumia stabilisr huwezi kutumia
13. Wizara kuchangia mil 50 imekuwa kawaida
14. Kupeana vyeo kwa urafiki kumeongezeka hata kwa watu wasio na sifa
 
Mbona hizo zilizokwisha sainiwa mikataba ambazo ni zaidi ya awamu zote ukichanganya pamoja na mkoloni wao huzisemi?

zilisainiwa mwaka gani? kwani umeme 2000MW ndo zitatutosha? kwa nini tusifikirie kuinvest zaidi ya 20,000MW badala ya kuongelea 2000MW na kuonekana ndo umemaliza kazi?
 
hebu sema barabara za lami nyingi ni zipi hizo? Ndo hizo zilizojaa viraka?
Shule zipi za sekondari zimeongezeka? Ni hizo sizokuwa na vifaa na walimu?
Vyuo vikuu gani ambavyo wamefanya kukonvert majengo ya sekondari na kuwa chuo kikuu? Havina walimu, havina vifaa vya kufundishia kama vifaa vya maabara. Hivyo ni vyuo vya kupigia kampeni tu halafu watoto wao wanawakimbizia nje.

Kliniki zipi hizo wakati akina mama wanalala chini hawana vitanda? ama issue ni kuongeza idadi ili watudanganye tuwape kura zetu?
Umeme sasa hivi ni hali mbaya kuliko wakati mwingine wowote. Ndo maana biashara ya magenereta imekuwa juu kuliko wakati mwingine wowote
Nyumba ziko wapi wakati naona walimu wengi tuanapanga nao uswazi huku? hebu sema wapi zipo?
Utalii wanauza zaidi wanyama nje ya nchi kuliko wakati mwingine wowote
Kodi mbona misamaha ya kodi imekuwa mingi sana? kodi yao wanategemea kweye mishahara ya wafanyakazi wakati huku kwenye madidi na wawekezaji wanamisamaha aise ni uchungu na aibu kwa CCM

Huna hoja majungu tu, nimekupa data aidha zikatae hizo au zikubali ukitaka tuongelee quality hayo ni mambo mengine kabisaaaaaaaaa.
 
zilisainiwa mwaka gani? kwani umeme 2000MW ndo zitatutosha? kwa nini tusifikirie kuinvest zaidi ya 20,000MW badala ya kuongelea 2000MW na kuonekana ndo umemaliza kazi?

Ikiwa awamu nne za kwanza pamoja na mkoloni wamewekeza megawati 600 tu, na kwa muda wa miaka 6 Kikwete pekee amewekeza zaidi megawati 700 na bado anaendelea, nani zaidi?
 
zilisainiwa mwaka gani? kwani umeme 2000MW ndo zitatutosha? kwa nini tusifikirie kuinvest zaidi ya 20,000MW badala ya kuongelea 2000MW na kuonekana ndo umemaliza kazi?
unajua tatizo la wa2 waliozoea data za kwenye makaratasi na kujvuna kwamba wamefanikiwa ndo hawa.tunataka real working tings.hizo taarifa za ku2ambia tutazalisha tumeanza kuzickia toka ameingia madarakani lakini hali imekuwa ngumu zaid!
 
Msipoiba kura si kama kawaida yetu tunashinda. Ila kwa uhakika hata tusipochukua jimbo bado 2015ni yetu maana CCM wakati huo itakuwa waliko KANU sasa hivi. Maana CCM sasa hakina kiongozi, toka aondoke Dr. Mkapa na Mangula kimekosa viongozi.

Jaribuni na nyie kuiba kama ni rahisi. Mnangoja nini? ina maana wabunge wenu wote waliokuwepo Bungeni mliiba zaidi ya CCM? Unanchekesha!
 
unajua tatizo la wa2 waliozoea data za kwenye makaratasi na kujvuna kwamba wamefanikiwa ndo hawa.tunataka real working tings.hizo taarifa za ku2ambia tutazalisha tumeanza kuzickia toka ameingia madarakani lakini hali imekuwa ngumu zaid!

Subiri kula shubiri wacha kuwa sifuri nimekupa nambari unazitia kabari unajifanya jabari kumbe u kichinchiri ni lini hali ilikuwa nzuri mpaka leo una gari au huoni fahari umekuwa tajiri huna hata tahayari au wewe unakula sopari nenda Ikwiriri kwa kutumia matairi na unarudi shwari kama hujenda kwa gari nenda kwa masaburi nae akupe shauri mbona una hatari unawaka kama kibatari hebu kaa ufikiri usiwe kama kafiri.
 
zilisainiwa mwaka gani? kwani umeme 2000MW ndo zitatutosha? kwa nini tusifikirie kuinvest zaidi ya 20,000MW badala ya kuongelea 2000MW na kuonekana ndo umemaliza kazi?

boa tunazifikiria sana hizo zaidi ya 20,000 si kama wewe hapo unazifikiria au sio mtanzani wewe? mimi nafikiria megawati 100,000 wewe bado uko 20,000, kumbuka huwezi kuanza na elfu kabla ya kuanza na moja.
 
Subiri kula shubiri wacha kuwa sifuri nimekupa nambari unazitia kabari unajifanya jabari kumbe u kichinchiri ni lini hali ilikuwa nzuri mpaka leo una gari au huoni fahari umekuwa tajiri huna hata tahayari au wewe unakula sopari nenda Ikwiriri kwa kutumia matairi na unarudi shwari kama hujenda kwa gari nenda kwa masaburi nae akupe shauri mboa una hatari unawaka kama kibatari hebu kaa ufikiri usiwe kama kafiri.
haa,haaa,haaaaaa!inaonesha we m2 wa pwan.kawaida yenu mkipewa ukweli mnaanza kuleta maneno yasiyo msingi.nataka ufanisi cio kuniletea idad ya shule zilizojengwa wakt hazna madawat,walm,majngo yameshabomoka.ndo nyie mnasema MOH imepewa pesa nying kwenye bajt ilhal hata kupurchase dawa za mwaka mzima tu hazitoshi.kisa umesomewa bil 30!
 
Back
Top Bottom