BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Ng'wanangwa umenena na kukonyesha hali halisi ya maisha ambayo Kikwete na CCM yake wanasema hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania.

Action speaks louder than words

Tujiandae na hekaheka za uchaguzi IGUNGA. Andaeni helikopta, ze comedy, kiduku na mbwembwe anuai.
 
Excellent! Wewe ni Great Thinker! Kama nchi ingekuwa na watu 10 kama wewe.........

145 MW Agrekko, 100 Symbian, 300 Kiwira, 100 Wind power, nikuongezee zingine? hizo tu zimepita 600MW za kuanzia mkoloni mpaka anapochukuwa Kikwete. Au ulitaka awe kama Alladin na taa ya ajabu? akiisuguwa umeme huo! ikiwa wote kabla yake iliwachukua zaidi ya miaka:

40 Waingereza
20 Nyerere
10 Mwinyi
10 Mkapa =
Jumla Miaka 80 imewachukua Kuweka 600 MW.

Jee Kikwete ikimchukuwa miaka 10 kuweka hiyo 600MW tu kama ya wote hao, nani zaidi?

Lakini hapana, Kikwete kasema kabla ya 2015 over 2,000MW, hizo zaidi ya 600 mikataba tayari, mbali ya usambazaji ndio usiseme. Mnasema nini nyinyi? mdanganyane vijiweni huko sio hapa.
 
Embu tupe faida unazopata kwa kutetea upuuzi wa CCM!

Wewe unaona ni sawa Tanzania kuwa katika hali hii duni ya maisha vs rasilimali zilizopo? Huoni kuwa kuna tatizo ktk utawala?

Kwa kuwa wewe umepata hako ka mrija ka ufisadi basi huoni tabu wagonjwa Muhimbili, KCMC kulala sakafuni, wanafunzi kusomea chumba kimoja madarasa mawili. CCM imefanya mpaka leo waislam hawana umoja wala dira
 
Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.
Kumbe kuna wkt akili zinakurudia,nimependa jinsi ulivyomkejeli kikwete hapa.Endelea hivyo hivyo.
 
hembu tupe faida unazopata kwa kutetea upuuzi wa ccm!wewe unaona ni sawa tanzania kuwa katika hali hii duni ya maisha vs rasilimali zilizopo?huoni kuwa kuna tatizo ktk utawala?kwa kuwa wewe umepata hako ka mrija ka ufisadi basi huoni tabu wagonjwa muhimbili,kcmc kulala sakafuni,wanafunzi kusomea chumba kimoja madarasa mawili.ccm imefanya mpaka leo waislam hawana umoja wala dira

Hayakuanza wakati wa Kikwete hayo lakini tunaona kabisa kwa dhati kabisa jinsi anavyojitahidi kuondoa hiyo hali, kwanza kaanza na vituo vya afya kila kata halafu kazikuza hospitali za wilaya na za mikoa na kaweka mitambo mingi ya kisasa pale Muhimbili, jee yote hamuyaoni? au mnata Rais akishika leo, kesho kila kitu tayari? Nambie Rais gani aliofanya hata nusu tu ya alivyovifanya Kikwete katika miaka sita aliyoongoza?

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Najuta kumpigia kura kikwete kuwa Rais wa hii nchi .i will never ever vote for ccm again
 
145 MW Agrekko, 100 Symbian, 300 Kiwira, 100 Wind power, nikuongezee zingine? hizo tu zimepita 600MW za kuanzia mkoloni mpaka anapochukuwa Kikwete. Au ulitaka awe kama Alladin na taa ya ajabu? akiisuguwa umeme huo! ikiwa wote kabla yake iliwachukua zaidi ya miaka:

40 Waingereza
20 Nyerere
10 Mwinyi
10 Mkapa =
Jumla Miaka 80 imewachukua Kuweka 600 MW.

Jee Kikwete ikimchukuwa miaka 10 kuweka hiyo 600MW tu kama ya wote hao, nani zaidi?

Lakini hapana, Kikwete kasema kabla ya 2015 over 2,000MW, hizo zaidi ya 600 mikataba tayari, mbali ya usambazaji ndio usiseme. Mnasema nini nyinyi? mdanganyane vijiweni huko sio hapa.
Sasa nimeamini, ..kweli akutukanae hakuchagulii tusi!
 
Magwanda mkichukua Ubunge wa Igunga ntajua kuwa 2015 mnachukua nchi, mkishindwa bora mfunge ofisi zenu, maana itakuwa ni washindikizaji kama kawaida.

FF Nimependa hii kauli yako naoma niilipie dola 250, na upokee pongezi zangu za dhati kwako kwa kauli ya mwaka 2011.
 
Uganda is planning to build only the second oil refinery in East Africa by 2015.

Following the recent discovery of 2.5 billion barrels of oil, Uganda aims to develop a refinery in Hoima, according to Fred Kabagame Kaliisa, permanent secretary at the energy ministry.

The $2 billion plant should be able to produce an initial 20,000 barrels per day, rising to 200,000 over 30 years. A pipeline designed to export the country's crude is also expected to be complete in four years and Uganda has identified the Democratic Republic of Congo, Rwanda, Burundi, Tanzania and Kenya as possible export markets.

At present, a refinery in the Kenyan port city of Mombasa is the only facility of its kind in East Africa, exporting fuel to Uganda, Rwanda and Burundi. But it only produces 32,000 b/d, compared to a capacity of 80,000, and in May suffered an external power failure that shut it down for a week. Essar Group, the Indian company that owns 50 per cent of the plant, has suggested plans to upgrade the 40 year-old facility to improve its efficiency and raise production.

"It is clear that demand for oil products in East Africa will continue to rise and the Mombasa refinery is well placed to meet this demand," said Bimal Mukherjee, chief executive of Kenya Petroleum.

However, the Kenyan government seems less keen on modernisation, planning instead to import fuel from its neighbours once the Ugandan refinery starts.

Following the discovery of reserves at Albertine Graben in 2006, government analysts estimate that Uganda will be able to support the production of over 100,000 b/d for the next 20 years, making the country the primary oil producer in East Africa. "Uganda is a good trading partner and we expect to reach a good deal", said Martin Heya, Kenya's commissioner for petroleum to Dow Jones Newswires in May.

UWEZI KUSHINDANISHA WAKATI WA ZAMANI NA SASA KISHA UKASEMA TUNA MAENDELEO WAKATI TUKO MKIANI KWA KILA KITU. INA MAANA TANZANIA TUNAJILINGANISHA WANA HISTORIA YETU YA NYUMA NA SIO SASA?
WETU WALIKO SISI TUKO NYUMA SANA HAKUNA MUDA AMBAPO TAIFA LIMEPOTEZA PESA NYINGI KWENYE WIZI KAMA HUU WAKATI WA KIKWETE
 
Tatizo lenu mnafikiri mna haki miliki ya kutawala hili Taifa.na nivema mkafanya analysis kwa kutumia akili badala ya makalio
inasikitisha maisha kila kukicha yanapanda nyie kwakuwa mnakula kodi za walala hoi mnajiona mtatawala milele

hata Ben Ali na Mubarak nadhani walikuwa wanafikiri watatawala milele na kuwaachia watoto na wajukuu wao madaraka

Hao walikuwa madikteta hata mimi siwashabikii. Tatizo sio hati miliki, uzuri wa Kikwete ni msikilivu, kumbuka kuna walioongoza CCM ambao siwashabikii kabisa tena ni paka na chui.
 
Uganda is planning to build only the second oil refinery in East Africa by 2015.
Following the recent discovery of 2.5 billion barrels of oil, Uganda aims to develop a refinery in Hoima, according to Fred Kabagame Kaliisa, permanent secretary at the energy ministry.
The $2 billion plant should be able to produce an initial 20,000 barrels per day, rising to 200,000 over 30 years. A pipeline designed to export the country's crude is also expected to be complete in four years and Uganda has identified the Democratic Republic of Congo, Rwanda, Burundi, Tanzania and Kenya as possible export markets.
At present, a refinery in the Kenyan port city of Mombasa is the only facility of its kind in East Africa, exporting fuel to Uganda, Rwanda and Burundi. But it only produces 32,000 b/d, compared to a capacity of 80,000, and in May suffered an external power failure that shut it down for a week. Essar Group, the Indian company that owns 50 per cent of the plant, has suggested plans to upgrade the 40 year-old facility to improve its efficiency and raise production.
"It is clear that demand for oil products in East Africa will continue to rise and the Mombasa refinery is well placed to meet this demand," said Bimal Mukherjee, chief executive of Kenya Petroleum.
However, the Kenyan government seems less keen on modernisation, planning instead to import fuel from its neighbours once the Ugandan refinery starts.
Following the discovery of reserves at Albertine Graben in 2006, government analysts estimate that Uganda will be able to support the production of over 100,000 b/d for the next 20 years, making the country the primary oil producer in East Africa. "Uganda is a good trading partner and we expect to reach a good deal", said Martin Heya, Kenya's commissioner for petroleum to Dow Jones Newswires in May.

Hiyo habari ina walakin, amesahu refinery yetu ambayo sasa hivi inakuja?

http://nooroilrefinerytanzania.com/land_acquisition.html

Location: Kisiju, Mkuranga District

Consultants have completed the demarcation of the designated area at Kisiju, Mkuranga District, currently we are progressing to the second and final phase of the land acquisition.

Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

Hili kweli gunia la pumba .Mimi nakula kwa jasho langu ni nyie pekee akienda huko ndiyo mnakula .Huyu naye ni great thinker or great sinker
 
Pengine ni kwa msaada wawatanzania uwezi pokea barua ukatangaza mtu kajiuzulu wakati umuoni kisa ameleta
houseboy sasa mh makinda kwa kutuaminisha kwako na kujiuzulu kwa rosta,m tunaomba ututhibitishie kwelii
mh huyu ameondoka tusiopoteze muda wakina hosea kuanza kumchunguza na hili litasidia kupunguza mgongano wa maslahi kati ya hosea na dpp
ahasante mh spika
 
Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.
Umesahau 10. Matumbo ya Mafisadi yamekuwa Sana wakati wa Kikwete kuliko awamu zote ukichanganya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom