Bunge lakumbwa na kashfa nzito

kiasi ya kwamba katiba ya uganda iliandikwa kipindi cha OBOTE kuwa huwezi kuwa gavana wa benki kuu ya Uganda kama sio mkatoliki. hili hadi leo lipo.

mmmh very painful na huyu M7 naye ni Mkatoliki?
 
Hoja nzuri lakini presenter anakosa focus. Issue ni kuwa hawana sifa au ni wakatoliki. Maana siamini kama wote waliochukuliwa ni wakatoliki kwani St. Augustine inachukua watu wa dini zote. Pia siamini kama watu wenye sifa wapo St. Augustine tu.
Inawezekana pale wakubwa walikuwa na mtu wao wakaona wachukue watu wote wa chuo kimoja ili kupoteza ushahidi lakini pia macho ya kifisadi hayaoni. Ushahidi unaonesha mafisadi mara nyingi hawajui kusoma alama za nyakati.
Ninaamini kuwa kama ofisi ya umma ilitakiwa kuchukua watu wa vyuo vingi zaidi ili kuweka diversity ya watumishi wake. Ukiweka watu wote wanatoka chuo kimoja kwa mtazamo wangu naona si sahihi.
Hoja ya kandanda kuhusu wakatoliki sikubaliani nayo hata kidogo.Kwanza mimi ni mluteri lakini sijawahi kugundua kuwa tunaonewa. Malalamiko haya nimeyasikia mara ya kwanza pale Lowassa alipojiuzuru akapokelewa kwao Monduli kwa shangwe na mmoja wa watu maarufu alikuwa Askofu Laizer wa Arusha. Baada ya hapo Lowassa alisafiri kwenda Israel kwa ziara ya kidini na mhubiri maarufu Mr Mwakasege ambaye by default nae ni mluteri. Baada ya hapo ikaonekana kuwa waluteri wanamuunga mkono Lowassa na pia wanahisi kuwa wanaonewa.
Lakini hizi ni hisia tu,sidhani kama kuna ukweli wowote. Ukiangalia kwenye nchi yetu,wakristo wa kikatoliki ndiyo wengi zaidi kuliko wakristo wengine. Kielimu pia hawako nyuma sana kwani maeneo ambayo wamisionari wa kikatoliki walifika hapo zamani walijenga mashule.
Suala la Malecela linajulikana,kama hujui leta maswali watu watakujibu. Nadhani hujui sababu kwanini Mwalimu alitishia kurudisha kadi ya CCM. Tatizo halikuwa dini(uanglikana). Kuthibitisha hilo kabla ya hapo Mwalimu alipong'atuka alimuachia madaraka Mzee Mwinyi ambaye ni muislam wakati walikuwepo wakatoliki wengi sana kipindi hicho ambao walikuwa na uwezo kama/zaidi ya mzee mwinyi.
Mwisho, naomba nitoe wito kwa watanzania,tunaposhindwa mambo tusilete chokochoko za udini kwani ukweli tunaujua. nchini kwetu waislam na wakristo wanaishi nyumba moja wanalala pamoja, wanafanya kazi ofisi bila kutengana. Utajua huyu muislam au mkristo inapofika wakati kila mtu anaenda kwenye ibada.
Asante
 
soma kitabu cha padri sivalon kanisa katoliki na siasa Tanzania.utajua na kuona kila kitu.
 
Matatizo ya Bunge letu yanaanzia kwa Spika mwenyewe. Huyu Kashillah mwenyewe kapata hii kazi kwa kubebwa bebwa tu ndio maana madudu yote haya.

Haiingii akilini out of 2000 applicants 15 watoke chuo kimoja darasa moja! something very fishy here.

In line with good governance the whole exercise shud b called off and start a fresh na wahusika wawajibishwe.

Haki sio tu inatakiwa itendeke bali ionekane inatendeka.......
 
Taabu Tz ni uwajibikaji!

Je nani achukuliwe/achukuwe hatua ili kupunguza kulalamika siku zote?

Sii sahihi wote 15 watoke ktk chuo kimoja!
 
....duh inasikitisha sana kumbe mama kilango naye ni mpiga mapande duh jamani huu ufanisi tutasubili sana kama ndo hivyo inauma sana na kusikitisha watoto wa maskini hatuna chetu tena.
Yapo Mengi kaka....na ndio maana Mh. Mkapa wala hakosi Usingizi wake....Mkapa anawajua wote na madhaifu yao.
 
.
.....NYEGEZI haiwezi kupambana na Tumaini acha Udsm.labda ijipime na Kairuki au Bukoba University.[/QUOTE]

Hivi Bukoba Kuna University???Nipo mwaka wa pili huku Bkb sijawahi kukisikia hicho chuo !!
 
siyo bunge tu jamani! Serikali kuu ndo kulivyo: yaani hizi interview Panels mara nyingi unakuta kila mtu ana mtu wake!

sasa sijui ni wapi angalau kuna objectivity: may be mashirika ya nje!
 
Naomba kuuliza,
Kwani Dr Kashishila anasali kanisa gani?

Kanisa katoliki ndio anasali.
My Tanzania nimekupa source ya kauli yangu kuwa soma kitabu cha padri Sivalon kinaitwa kanisa katoliki na siasa Tanzania ukisoma hicho ndio uje kubishana nami.

au unaweza ku google kitabu cha The Mwembechai killings ila nilipenda usome kilichoandikwa na Padri mkatoliki kuliko hiki cha The Mwembechai.au soma vyote.

jumatatu hii spika aliwatambulisha wafanyakazi wapya wa bunge toka Nyegezi bungeni rasmi na kusema kuwa walipitia kwenye mchujo mzito ulioongozwa na Anna makinda.

ukweli hakukuwa na mchujo mkali kwani Raphael Nombo,Kashilillah na mama Kilango malecela tayari walikuwa na watu wao. mambo ya interview n.k ilikuwa ni maigizo tu au ZE COMEDY.
 
.
.....NYEGEZI haiwezi kupambana na Tumaini acha Udsm.labda ijipime na Kairuki au Bukoba University.

Hivi Bukoba Kuna University???Nipo mwaka wa pili huku Bkb sijawahi kukisikia hicho chuo !![/QUOTE]

Bukoba university kiliongozwa na hamasa za ukabila bila kuwa na mipango madhubuti,walitaka wawe watu wa kwanza kuwa na chuo kikuu wakidhani ni sawa na kuendesha sekondari.kilikwama baada ya mwaka mmoja.
 
siyo bunge tu jamani! Serikali kuu ndo kulivyo: yaani hizi interview Panels mara nyingi unakuta kila mtu ana mtu wake!

sasa sijui ni wapi angalau kuna objectivity: may be mashirika ya nje!

Baadhi ya Taasisi huamua kuchukua makampuni ya nje kama ERNEST & YOUNG wafanye short list kuepuka mambo haya ya kubebana bila kuwa na sifa wala uwezo kama walivyofanya Madugu,Raphael Nombo na Kashilillah ambaye ana PhD labda ndio zile za kina Kamala na Nchimbi.
 
huu upuuzi ndio unatuumiza sana Watanzania...kazi haziendi sababu ya undugu na kujuana...juzi juzi kidogo niogope kuchukua mkopo benki, kumbe kijana aliyenipigia mahesabu, tena kwa uhakika, alikosea!! wenzetu jira haziangalii undugu jamaniiii!!!
 
Nilisema nguvu za kanisa katoliki na kuwapa changamoto wasome kitabu cha Sivalon.
lakini gazeti la THE SUNDAY CITIZEN 03-05-2009. limekuja na kichwa cha habari CATHOLIC CHURCH PUSHES FOR CHOICE OF PRESIDENT.AU MNAWEZA KUIPITIA The Citizen Daily Newspaper
haya yanayofanywa na kina Nombo,madugu na kashilillah ndio maandalizi ya rais mkatoliki.
 
Wafanyakazi wa Bunge wenye imani na spika na Thomas Kashillilah naomba maoni yenu hapa?
NOMBO nipe jibu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom