Bunge lakanusha tuhuma za Paul Makonda kuhusika na wizi wa simu bungeni

Mwambie kwa mwanahabari makini, kupotea kwa simu bungeni kwa mazingira tata, hiyo ni habari?

Kwa nini alitangaza?

Kibaka akiiba simu kariakoo, ni habari! Ila mbunge akiiba simu bungeni, ni habari ya kusisimua!
 
Kitengo cha ulinzi na usalama cha Bunge kimetoa taarifa ya kukanusha, tuhuma zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii zikimhusisha Mbunge wa Bunge maalumu la Katiba ndugu Paul Makonda kuhusika na wizi wa simu ya Mjumbe wa Bunge la Katiba. Akitoa taarifa hiyo mbele ya Bunge maalumu la katiba, Mwenyekiti wa muda wa Bunge maalumu, Mh. Pandu Amiri Kificho alisema;

Mtasema kweli nyie kwani? Watu wanapigaga mabilioni mnawaficha, ije kuwa leo simu?

Hapo mtaanza maelezo ya uongo na kweli lengo ni kujilindia heshima, ila kumbe ninyi ni majizi mlioshindikana!
 
Lisemwalo lipo na kama halipo linakuja. Kwanini asingiziwe yeye wakati wajumbe wapo wengi?

Ikisemwa Q Man analiwa Mini Kabang kwa mujib wa Msemo wako je tutayarishe Pempaz kuwa muda si mrefu utakuwa ukijojoa unachuchumaa?
 
Kibaka akiiba simu kariakoo, ni habari! Ila mbunge akiiba simu bungeni, ni habari ya kusisimua!

Katibu wa Vicoba akiiba Mke wa Mtu kariakoo ni habari, sasa Katibu mkuu wa Chama cha Siasa akikwapua na kisha kulazimisha Kuoa Mke wa MTU tena mumewe akiwa hai inaitwaje kihabari?
 
Jamii forums ni mtandao ambao unaoaswa kuw na hadhi na heshima kubwa. lakini inapoyeza sifa zake kwa ujinga wa baadhi ya watu kutoa kauli za kipuuuzi na kushindwa kutumia akili kujenga hoja.
 
Nimejaribu kukumbuka yule aliyeiba taulo nyumba ya kulala wageni.....sijui alikuwa nani!!???....Halafu tena akatuhumiwa kuiba tena huko ughaibuni...Mhhhhhhh!Kazi ipo!!
 
Huyu jamaa kuna siku atajuta kuingia vitani na Lowassa. ..
 
siko hapa kumtuhumu mtu, ila nimekaa nikijiuliza hio simu imeenda wap katikati ya waheshimiwa sana ktk jengo tukufu, sasa kana kasimu ka laki tatu mpaka nane hakako salama kwenye lile jengo je tembo wetu watakua salama, pesa zetu je, madini yetu, ardhi. . .? hii ni hatari sana alie chukua hio simu naomba airudishe ili kulinda heshima ya bunge,kwan kizazi kijacho kitakuja kusoma hii historia au mh.kificho atangaze simu haikuibiwa bali iliota miguu au mbawa. nawakilisha hoja. kidum chama cha mapindz
 
ilikuwa simu ya kufikirika, mpango mzima kuhamisha attention ya jamii, mapambano yanaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom