Bunge la tanzania

Remmy

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
4,701
1,799
Wana JF,
salaamu.
Kwa hali inavyoendelea bungeni, mimi na mtazamo huu,

Wabunge wetu wanawakilisha vyama vyao, na si maslahi ya wananchi, kwa jinsi bunge linavyoendelea, wabunge hujadili hoja kutokana na uvyama hata kama kuna ubaya au uzuri gani wa hoja husika. Mfano, wa cdm akisema pendekezo fulani wa ccm, watapinga tu hata kama ni kwa maslahi ya tanzania. Kuna wengine pia wacdm itabidi wakubaliane na mwenzao hata kama yeye ana mtazamo tofauti, kwasababu ataonekana ametofautiana na wenzake, hakuna uhuru wa maoni lazima useme kutokana na msimamo wa chama, au kwasababu mtoa hoja ni wa chama changu, hakuna kutofautiana nae

Kwa mantiki hii mimi pendekezo langu kwenye katiba mpya, tupate wawakilishi kutoka maeneo husika na si kupitia vyama ikiwezekana kuwe na wagombea binafsi,
Nimechoka na huu uvyama bungeni.

Naomba kutoa hoja.
 
hii ni kawaida.sioni cha ajabu hapo?::director:

Wametumwa kuwakilisha wananchi kwenye jimbo husika na si chama. Linapofika suala la maslahi ya wananchi basi waachane na uvyama watetee wananchi.
 
Unapokuwa Unatetea Kitu Bila Kujua Unachotetea!! Hii Ni sawa na utindio wa Ubongo!
 
Yote sawa kama hujaona hoja. Ni uhuru wa mawazo, hatuwezi kufanana kwa mawazo hata siku moja si lazima kutukana
 
Back
Top Bottom