Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge la tanzania linapogeuka"vikao vya harusi""

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 9, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 23,422
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 83
  Hakika bunge letu la tanzania limeshindwa kuonyesha wazi kwamba ni bunge lililotumwa na wananchi kuongelea wananchi kusaidia shida za wananchi lakini leo hii wacha bunge letu kujaza mafisadi bungeni
  limekuwa halina tofauti na vikao vya harusi.....
  Kila hoja zinzopangwa kufanyiwa kazi ama kwa nguvu za mafisadi
  spika wanaamua kuahirisha mada zinazowahusu ama mafisadi ama maslahi ya watanzania...leo hii RICHMOND imekuwa ikiahirishwa hii ni mara ya 3 kama sikosei.....
  Mh SPIKA bunge lako ulisema ni BUNGE lenye MENO
  hakika watanzania hatutakuelewa kama utaamua kuendelea na system zenu za kuahirisha mijadala inayohusu MAFISADI wa CCM...USITISHIKE KUAMBIWA NA WAZIRI SIMBA.SOPHIA KWAMBA CCM HAKUNA ASIE FISADI...HII ISIKUARIBIE MUDI YA KUFA NAO KIDONDANI KAMA ULIVYOAPA MBELE YA WATU.......INASHANGAZA MAKAMBA KUONGEA VITUKO KWENYE VIKAO VYENU VYA MWINYI&CO LTD....HILI BUNGE SI LA CCM....BUNGE LA TANZANIA....
   
Loading...
Similar Threads - Bunge tanzania linapogeukavikao Forum Date
Vituko ndani ya Bunge la Tanzania Habari na Hoja mchanganyiko Mar 24, 2016
Hongera Tanzania Hongera Bunge kwa kukataa kuligawa Taifa kwa mambo ya kidini Habari na Hoja mchanganyiko Feb 7, 2015
Kwa spika wa bunge la Tanzania Habari na Hoja mchanganyiko Nov 26, 2014
Wizi watikisa Bunge, Haya yawezekana tu Tanzania Habari na Hoja mchanganyiko Nov 7, 2014
Website ya bunge la jamhuri ya tanzania Habari na Hoja mchanganyiko Jun 27, 2013

Share This Page