Elections 2010 Bunge la Sasa Kugawanyika Katika "Nguvu za Hoja" dhidi ya "Nguvu ya Kura"

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Kwa sisi tulio nje ya mjengo kwa kutazama tu katika runinga mapema kabisa hata kabla ya vikao kamili kuanza kwamba tumeanza kuona dalili za wazi za mwelekeo wa mgawanyiko wa haraka haraka kwenye makundi makuu mawili ya sisiemu (A+B+C+TLP+NCCR+UDP+ETC) Kundi moja lenye nguvu kubwa ya wingi wa kura kama ngao ya kujihami; na upande wa pili CDM kama kundi lenye nguvu ndogo ya kura lakini lenye kujiamini kwa rasilimali ya nguvu kubwa sana ya talent na uwezo wa kufanya well researched issues na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa matokea ya tafiti hizo kutokana na fani ya sheria ya wengi wao!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pia CDM wamekuja wakiwa tayari wana orodha ndefu za kero za msingi za kuondoa ili jamii yetu iweze kupiga hatua ya maendeleo ya haraka-kero ambazo nyingi yake ziko deep rooted ndani ya culture ya sisiemu km kero za ufisadi na tatizo la rushwa!!!!!!!!!!! ambazo haitakuwa rahisi kupata quick understanding and support!!!!!!!!!!!!!!!
Miongoni mwa ninayoweza kuona kwa haraka ni haya:-
1) Sisiemu na kundi lake kubla la nguvu ya kura kuegemea kutafuta kujihami kwa kushinda kwa wingi wa kura , kiasi cha huenda hata mara nyingi kuweza kupinga hoja zenye mwelekeo wa kupinga hoja za msingi zenye malengo ya kuondoa mizizi ya maovu sugu katika jamii, hasa pale ambapo shutuma zitakapokuwa zinaelekezwa kwa serekali!!!!!!!!!!!
2) Ninavyowaelewa CDM ni hodari kwa kutafiti kwa kina na watumiaji wazuri wa matokeo ya tafiti, na wanaelekea kujiandaa kweli kweli kutumia tafiti hizo kujenga hoja zenye mwelekeo wa kuirekebisha serekali
katika mambo mengi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
3) Wabunge wengi wa CDM ni wanasheria-watakuwa wepesi kutafiti, kuelewa na kujenga hoja, ambazo kwa upande wa sisiem itawapa shida:
4) Ni rahisi kuongoza kundi dogo kufanya mambo makubwa kuliko kundi kubwa la sisiem(A+B+C+....)

CDM ni serekali kivuli, hivyo kuwa na nguvu kubwa ya kisheria ndani ya bunge!!!!!!!! Tukumbuke huko nyuma tumekuwa na kambi ya upinzani; sasa rasmi tuna shadow govt in the parliament.

All in all tunawatakia waheshimiwa wote kila la kheri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa sisi tulio nje ya mjengo kwa kutazama tu katika runinga mapema kabisa hata kabla ya vikao kamili kuanza kwamba tumeanza kuona dalili za wazi za mwelekeo wa mgawanyiko wa haraka haraka kwenye makundi makuu mawili ya sisiemu (A+B+C+TLP+NCCR+UDP+ETC) Kundi moja lenye nguvu kubwa ya wingi wa kura kama ngao ya kujihami; na upande wa pili CDM kama kundi lenye nguvu ndogo ya kura lakini lenye kujiamini kwa rasilimali ya nguvu kubwa sana ya talent na uwezo wa kufanya well researched issues na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa matokea ya tafiti hizo kutokana na fani ya sheria ya wengi wao!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Pia CDM wamekuja wakiwa tayari wana orodha ndefu za kero za msingi za kuondoa ili jamii yetu iweze kupiga hatua ya maendeleo ya haraka-kero ambazo nyingi yake ziko deep rooted ndani ya culture ya sisiemu km kero za ufisadi na tatizo la rushwa!!!!!!!!!!! ambazo haitakuwa rahisi kupata quick understanding and support!!!!!!!!!!!!!!!
Miongoni mwa ninayoweza kuona kwa haraka ni haya:-
1) Sisiemu na kundi lake kubla la nguvu ya kura kuegemea kutafuta kujihami kwa kushinda kwa wingi wa kura , kiasi cha huenda hata mara nyingi kuweza kupinga hoja zenye mwelekeo wa kupinga hoja za msingi zenye malengo ya kuondoa mizizi ya maovu sugu katika jamii, hasa pale ambapo shutuma zitakapokuwa zinaelekezwa kwa serekali!!!!!!!!!!!
2) Ninavyowaelewa CDM ni hodari kwa kutafiti kwa kina na watumiaji wazuri wa matokeo ya tafiti, na wanaelekea kujiandaa kweli kweli kutumia tafiti hizo kujenga hoja zenye mwelekeo wa kuirekebisha serekali katika mambo mengi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
3) Wabunge wengi wa CDM ni wanasheria-watakuwa wepesi kutafiti, kuelewa na kujenga hoja, ambazo kwa upande wa sisiem itawapa shida:
4) Ni rahisi kuongoza kundi dogo kufanya mambo makubwa kuliko kundi kubwa la sisiem(A+B+C+....)
CDM ni serekali kivuli, hivyo kuwa na nguvu kubwa ya kisheria ndani ya bunge!!!!!!!! Tukumbuke huko nyuma tumekuwa na kambi ya upinzani; sasa rasmi tuna shadow govt in the parliament.

All in all tunawatakia waheshimiwa wote kila la kheri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama wakitumia nguvu ya kura na kanuni potovu za spika, kuwabana CDM ambayo ndio watetezi wa wananchi, basi People's Power itafanya kazi kuwaamsha akina Sitta, Mwakyembe, Kilango na wengine kwa zomea zomea kama ilivyofanywa walipo mfukuza Zitto bungeni.
 
Uzoefu tuliopata katika kipindi cha kampeni tangu kura za maoni ndani ya sisemu iliyoibua hadharani mizizi ya maovu mengi ya rushwa, ufisadi, ushirikina, mauaji nk na uchafu mwingine wa kila namna, inaonekana jamii ya taifa letu imejifunza na kuelewa, na kushawishika kidhamira kuleta mabadiliko ya haraka. Kutoka na haya mimi naona future ya namna hii ndani ya bunge letu la 10:-
1) Pipoooooooooos Pawaaaaaaaaaaaaaaaaa iko upande wa "nguvu ya hoja", na kwamba "nguvu ya kura" ndani ya bunge ita-tend kwa sehemu kubwa kutetea "status quos"; na wafuasi wa "nguvu ya hoja" ambao kwa sehemu kubwa ni vijana, wenye kuweza kufanya mambo mengi yanayotawaliwa na jazba,mfano yaliyotokea Nyamagana, Arusha, Moshi, Mbeya, Iringa, nk baada ya uchaguzi inaashiria mwelekeo!!!!!!!!!!!!!!; matokeo ni conflict of interest!!!!!!!!!!!!!
2) Ndani ya bunge dude kubwa sisiemu na associates (TLP, UDP, NCCR, CUF,nk) itakuwa inhofia matokeo ya mabaidliko ya haraka!!!!!!!!!!!, yaani kambi ya "nguvu ya kura" itakuwa si wepesi kuelewa na kukubali kasi ya mabadiliko ambayo kambi ya "nguvu ya hoja" itakuwa inataka. Nje ya bunge nguvu ya pipoooooooos pawaaaaaaa kwa kufuatilia mivutano hiyo itakuwa quick kupoteza uvumilivu!!!!!!!!!! na kuanza kufanya vituko kwa hasira!!!!!!!!!!
3) Swali muhimu ni kwa kiasi gani dude kubwa na zito sisemu itakuwa quick kukubali na kuvunja ndoa na kambi ya ufisadi/rushwa/ushirikina?????????????? Hapa ndipo kuna kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!

Neno la hekima::: Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu!!!!!!!!! Pipooooooooooooooooooooooooooos Pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaas!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! shall win!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom