Bunge la Miongozo ya Spika, Jee Mhe, Spika ni Dhaifu, Dikteta au?

Anna Makinda ni mchemkaji, ana-panic, unfounded and specious. Na amewekwa na vilaza akina RA na El unategemea nini? Umbumbumbu wake ndio unempelekea aseme hataki miongozo....... it's very unfortunate that in this transparency epoch we've a very stupid speaker on earth.
Mkuu Makindi ulitegemea nini ikiwa huyo Spika wetu anazima hoja za nguvu na kuruhusu upuuzi. Tena mtu aliye jiudhuru mwenyewe kwa kusababisha serikali ya walala hoi wa Tanzania kupata hasara ya mamilioni na mabilion ya fedha za Richmond, sasa Dowans does this man really qualify????????? Eti huyo tena anakuwa mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nchi za nje, ulinzi na usalama, kwenye bunge la kutetea maslahi ya taifa hili.
Wanadhani Watanzania wamelala ni vilaza hawajui kinacho endelea, majibu yao yako jikoni watapata hivi karibuni, waendelee tuu!!!!!!!!!!
Because of your great mercy you never abandoned them in the desert. And you always guided them with a cloud by day and fire at night. Nehemiah: 9:19.
Because
 
nafananisha bunge hli kuwa sawa na mwalimu wa shule ya msingi kusimamia mtihani wanafunzi wa vyuo vikuu.
 
Ledies firstiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiim ndo matokeo yake hayo
 
Mh Makinda hajiamini kabisa na matokeo yake anatumia nguvu nyingi kuwa on the defensive....tayari ameshaweka mtazamo kuwa wapinzani esp. CDM ni wahuni na wakorofi hivyo inabidi wadhibitiwe, hiyo ndio ajenda aliyo nayo peke yake!

Ndio maana hata juzi alishindwa kabisa kudhibiti order/nidhamu ndani ya bunge wakati wabunge wanarushiana vijembe na kuwazomea wabunge wa CDM wakati wanachangia mswada. Kwake yeye it was ok kwa wabunge wa CCM kuzomea, kukatisha wenzao kila mara wakati wanazungumza...

Naomba nitoe maoni yangu kidogo hapo kwenye red - sio kuwa mtazamo wake CDM ni wahuni na wakorofi - ANAJUA FIKA KUWA WANA UWEZO; NA ANAJUA FIKA WALIIBIWA KURA; ANAJUA FIKA WANACHI WANAELEWA HILO; ANAJUA FIKA KUWA WANA UWEZO WA KUMPA CHALLEGES NYINGI SANA; WANA UWEZO WA KUJENGA HOJA - HEBU MWEKE YEYE NA MH. HALIMA MDEE - TENA MTOTO SANA KWAKE

SO AKIWAONA TU - ANAPANIC - PRESHA INAPANDA PRESHA INASHUKUA - ANAISHIA KUKOSA MWELEKEO - POLE ZAKE - HIYO INANIFANYA SIKU ZA BUNGE NITAFUTE MUDA KWENDA MJENGONI - NIMWONE LIVE!!!!!!!!!!!!! asante.

K
 
Spika Anna Makinda ni emotional sana na hii yote ni kwa sababu ya udhaifu alionao wa kutotumia akili yake kufikilia instead she uses her heart to think!!
 
Anna Makinda kaba hadi penati :clap2::clap2::clap2::clap2::coffee:

Sometimes kuolewa kubaya. Husikii wala huambiwi, kisa mumueo chichi em kasema jambo loh! Kweli we kada wa ukweli ndo maana wewe JK huwajui Dowans wakati ulikuwa ukijisifu kuwa unajitahidi kumaliza tatizo la mgao wa umeme. Sasa waliokuwa wanatengeneza umeme wa dharura hadi ukawa unatamba kwa wananchi kuwa tatizo litapungua huwajui?!!!!. Wondeful!!!! duniani!! yaani hii hata mataahira wa milembe wangeshtuka
 
Tangu lini sisiem wakafanya vitu makini -chaguzi zao zote huwa na za zengwe -hebu cheki shida na dhahama tunazokumbana nazo sasa hivi -kila mtu anachukua kitu chake mapema, kwa nafasi yake bila wa kumnyoshea kidole. Ninahisi kama ingekuwa sio mtandao salim angetufikisha sehem nzuri. Sasa cheki hii aibu ya bunge kugeuka kijiwe angekuwa mzee wa maspeed tungerifurahia bunge wakamfanyia zengwe wakamtoa hii ndio sisiemu, huyu mama hawezi kuliongoza hili bunge atachemka mara nyingi na kujikuta anaingiza serikali kwenye matatizo, sasa ona kawapa chadema chance nzuri kuweka mambo hadharani -wewe pasco wazri mkuu lazima afanye utafiti sio kukurupuka na kuongea hizo zama zimeisha -lema alikuwa sahihi na tutaendelea kumpa big up kwa hilo bila uoga. Kamanda lema ni moto mbaya amechokoza nyuki pale -yaaaaaaaaaaaani kiufupi chadema ni balaa itawatoa jasho vibaya.
 
midume yenye choyo utaiona tu. haitaki na haipendi kuona mwanamke anakuwa juu. imezoea ile ya zamani dume juu juu. siku hizi tunapanda juu yake
 
Spika Anna Makinda ni emotional sana na hii yote ni kwa sababu ya udhaifu alionao wa kutotumia akili yake kufikilia instead she uses her heart to think!!
Bulesi, tofauti kuu kati ya mwanamke na mwanaume sio tofauti za kijinsia bali ni namna ya kufikia maamuzi. Men thinks and women feels. Ni kutokana na kazi ya pituitary grands ina mimina adrenalin nyingi kwa wanawake kuliko kwa wanaume hivyo wanakuwa too emotional. Strength ni namna ya ku control emotions na kuwa taken by emotions hiyo ni weakness ambayo spika wetu anayo. Akipigwa kajidarasa kadogo tuu ka yoga ataondokana na tatizo hilo ila kuadmit weakness pia ni issue!.
 
midume yenye choyo utaiona tu. haitaki na haipendi kuona mwanamke anakuwa juu. imezoea ile ya zamani dume juu juu. siku hizi tunapanda juu yake
Jenifa inawezekana hii ndio sababu baadhi ya wanawake wa shoka wako single kwa kuhofia kuwa chini?.
 
Kama
Kuna mtu humu ndani anasubiri aone jinsi CCM inavyoanguka naomba asishiriki kuchelewesha tukio hilo,
weaknesses za kiuongozi za ccm ndio sumu inayowamaliza, walifikiri wanapeleka tiba bungeni kumbe ndo wamepigilia msumali wa mwisho.

CCM katika awamu hii watakuwa na furaha sana bungeni, sababu wana wema, vijana, mabinti, na wazee wa chadema watanyanyasika sana wakati hoja zao kutoka kwa umma zitakapokuwa zinazodolewa na kuhasiwa na Anna Makinda, CCM & CO. watechaka sana Bungeni lakini kitakuwa ni kirio na kusaga meno wakirudi kwa wananchi.

It is a perfect couple holding the key to liberation (Jakaya + Makinda).

Naomba asibadilike mpaka mwisho
 
nafikiri pasco umeisha mhukumu lema na kwa kufanya hivyo hujmtendea haki. pili kwa itifaki za kiuongozi, ukipewa taarifa isiyo ya kweli na wewe ukaisema kama ilivyo, aliyesema uongo ni wewe na sio aliyekuletea taarifa. ndio maana kuna dhana ya uwajibikaji ili mkubwa amwajibishe mdogo au awajibike kwa makosa ya mdogo akishindwa kumwajibisha yeye mwenyewe.

kosa la makinda nafikiri ni kuteleza tu kulikotokana na hamaki. mbunge kama kaomba muongozo ina maana hajasema bado kama PM kadanganya bunge kwa hiyo alitakiwa apewe muomgozo aliouombaba kisha asubiriwe kama atatoa madai ya PM kulidanganya bunge rasmi na hapo ndipo bunge lingejua limfane nini.

kwa maoni yangu, hata hayo maelezo aliyoambiwa aandike tarehehe 14 sijajua ataandika nini manake naona alikuwa bado hajatoa tuhuma za PM kulidanganya bunge ila aliomba mwongozo wa spika tu.

i am watching this game patiently
 
Naona aibu kuwa na Spika Anna Makinda, Rais JK na Waziri Mkuu MKP. Nadhani wana hasira zakuanzia kwenda shule bila cho chote asubuhi, halafu kwenda shule peku
 
Mh Makinda hajiamini kabisa na matokeo yake anatumia nguvu nyingi kuwa on the defensive....tayari ameshaweka mtazamo kuwa wapinzani esp. CDM ni wahuni na wakorofi hivyo inabidi wadhibitiwe, hiyo ndio ajenda aliyo nayo peke yake!

Ndio maana hata juzi alishindwa kabisa kudhibiti order/nidhamu ndani ya bunge wakati wabunge wanarushiana vijembe na kuwazomea wabunge wa CDM wakati wanachangia mswada. Kwake yeye it was ok kwa wabunge wa CCM kuzomea, kukatisha wenzao kila mara wakati wanazungumza..
Kwa mwendo huu lazima bunge litamshinda hivi karibuni, miaka 5 mingi sana!!

Kwa spika huyu CDM wana nafasi nzuri sana kum-disturbilise ili azidi kuvunja kanuni za bunge na kudhihirika kuwa dictator ili kwa kanuni hizo hizo wapate hoja za kuwashia moto wa pipooooooooooooooooz pawaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bunge la safari hii ni tamu sana; nadhani mr 6 saa hizi hana mbavu kwa kucheka, maana huyu spika ni kituko bungeni- kwanza CDM ni kambi ya wanasheria mahiri na mawakili akina Tundu Lissu ambao mitafarukr ya namna hii ndiyo ndiyo utamu wa michezo-watamwendesha mchakamchaka mpaka yeye na sisiemu na serikali yake watashika adabu!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama USPIKA ni kiatu basi kwa MAKINDA kiatu hicho ni over size, tatizo la mama anatatizo la kuona kama anadharaurika sababu ya uanamke wake (ni ajabu toka miaka ya 70's yupo kwenye madaraka lakini hali hiyo haijamtoka) Pili anapigania maslahi ya chama chake anaogopa asije wekwa ktk wakati mgumu kama mzee Six, Tatu ana mentallity ya UCCM kuwa kila jambo la wapinzani ni lazima kulipinga hapa aangalii maslahi ya Taifa, mwisho ana dhani LEMA,LISU na MBOWE wanajifanya wababe sasa anatakakuwaonyesha kuwa yeye ni mbabe zaidi ( Tatizo la mwanamke ambaye ajaolewa kwa kuamini kuolewa ni kuwa mtumwa wa mwanaume siku zote wamama wa aina hii uamini wanaume wanajifanya wababe sasa akipata nafasi upenda kujionyesha kuwa yeye ndio kiboko yao) Tatizo anasahau Bunge linaendeshwa kwa kanuni, taratibu za Bunge na sheria za nchi. Hivyo asipobadilika mapema KIATU (over size) kitamuangusha
 
Sina comment kuhusu "heroics" za huyu spika mpya...yamesemwa mengi sana kuanzia mchakato uliopelekea yeye kuukwaa uspika na kinachotokea sasa ni uthibitisho wa mashaka yaliyokuwapo kabla hajakaa kwenye kile kiti.

Ila inaniwia vigumu kuamini kuwa PM anaweza kupokea taarifa na kuamua kuzitumia kwenye jukwaa la bunge bila ya kwanza kuthibitisha credibility ya taarifa hizo, one way or the other.

Kama kweli Pinda alipata u-PM by merit, nadhani ndiye pekee aliyeilewa vizuri kabisa challenge iliyokuwa posed na Lema na atakuwa amekuwa embarrassed sana na reaction ya spika.
 
kama USPIKA ni kiatu basi kwa MAKINDA kiatu hicho ni over size, tatizo la mama anatatizo la kuona kama anadharaurika sababu ya
uanamke wake (ni ajabu toka miaka ya 70's yupo kwenye madaraka lakini hali hiyo haijamtoka) Pili anapigania maslahi ya chama chake anaogopa asije wekwa ktk wakati mgumu kama mzee Six, Tatu ana mentallity ya UCCM kuwa kila jambo la wapinzani ni lazima kulipinga hapa aangalii maslahi ya Taifa, mwisho ana dhani LEMA,LISU na MBOWE wanajifanya wababe sasa anatakakuwaonyesha kuwa yeye ni mbabe zaidi ( Tatizo la mwanamke ambaye ajaolewa kwa kuamini kuolewa ni kuwa mtumwa wa mwanaume siku zote wamama wa aina hii uamini wanaume wanajifanya wababe sasa akipata nafasi upenda kujionyesha kuwa yeye ndio kiboko yao) Tatizo anasahau Bunge linaendeshwa kwa kanuni, taratibu za Bunge na sheria za nchi. Hivyo asipobadilika mapema KIATU (over size) kitamuangusha
Naloli, ndaga fijo!.
 
Jamani hebu nipeni nini hasa tatizo la spika katika hilo la lema?.
Lema kaomba muongozo wa spika kuwa mbunge afanye nini iwapo mtu mkubwa kama PM anadaganya bunge na umma. muongozo aliopewa ni kuwa alete ushahidi wa kina wa maelezo kuthibitisha uongo wa PM
Mengineo yalikua ni maangalizo tu, kunalugha za kiungwana za kutumia.
Yawezekana spika ana mapungufu yake kama ailiyonayo mtu yoyote lakini kwa uendeshaji wa bunge hili bado hizo tuhuma zilizo jazwa ktk hii thread sijaziona zaidi ya inferiorty complex na ushabiki wa kisiasa, after all sitegemei hata sikumoja kama itatokea kumsifia spika kwa lolote.
Tulieni acheni jazba muda bado upo wa kutosha
 
Back
Top Bottom