Bunge la Katiba: Nani atakuwa Spika?

Peter jaluo

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
1,750
248
Katika Bunge hili la Katiba spika atakuwa Anne Makinda na Bdugai au watachagua spika mwingine?

Mwenye kujua atujuze.

Kazi kwenu JF
 
Kutakua na uchaguzi. Wasimamiaji wakuu watakua ni katibu wa bunge la jamhuri na yule wa znz na mwenyekiti wa muda
 
Naskia majina ya wajumbe wa bunge la katiba yametangazwa mwenye orodha atupie tuwajue !

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Watajua wenyewe, ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya nchi ambayo waislamu ni idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania, na wana Mahakama ya Kadhi kwa mujibu wa katiba hiyo, basi hakika kwa makusudi Kama Tume ya Jaji Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi ilivyofanya kudharau maoni ya kundi kubwa la nchi hii Waislamu, na Bunge hili nalo, litakua limeongeza Chumvi kwenye kidonda.

Then, Time will tell.
 
Baada ya Majina Ya Wajumbe wa Katiba kutangazwa sasa kinachofata ni Kikao Rasimi cha Bunge Hilo Feb 18.
Kwa Mujibu wa Sheria,Wabunge wote wa JMT Wanakua Sehemu ya wajumbe wa Bunge hilo.

Kwa kua Mama yetu Makinda ni Mbunge pia, hivyo mojakwamoja ni Mjumbe kama walivyo wabunge wengine.

Spika wa Bunge atachaguliwa Mwingine ambapo ni Matumaini yetu kua atachaguliwa Spika atakayeongoza Kikao Hicho kwa Maslahi ya Nchi Yetu kama yalivyo Maudhui ya rasimu ya Katiba kua ni ya Maslahi ya Nchi .

Hii itakua Fursa ya Kipekee kwa Mama yetu Makinda kushuhudia Jinsi Kikao Huru cha Bunge kinavyotakiwa kuwa.
 
Nimependa jinsi ulivyoimba, ila tu kwa bahati mbaya umepigia mbuzi guitar, ndo kwanza anainama kula majani
 
Kwenye bunge la Katiba, ingependeza spika akawa mtu wa kutoka Tanganyika na naibu atke Zanzibar; ila wote wasiwe Waislamu au Wakristo, au Wanaume au Wanawake.
 
Watajua wenyewe, ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya nchi ambayo waislamu ni idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania, na wana Mahakama ya Kadhi kwa mujibu wa katiba hiyo, basi hakika kwa makusudi Kama Tume ya Jaji Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi ilivyofanya kudharau maoni ya kundi kubwa la nchi hii Waislamu, na Bunge hili nalo, litakua limeongeza Chumvi kwenye kidonda.

Then, Time will tell.

ivi bado mnafikiria kuwepo kwa mahakama ya kadhi....
 
When church boys in this Government helped by biased News papers editors, tried to cheat the Tanzanian Mass and international community about The Self proclaimed Herbalist Doctor in the name of Christianity, one person asked my opinion about the realistic nature of the cure, I told him, time will tell.

So even for this case, I think time will tell.
 
Watajua wenyewe, ila ninacho kijua mimi katiba hii ikipita bila ya Kua na Mahakama ya Kadhi, ambayo katiba ya Kenya nchi ambayo waislamu ni idadi ndogo ukilinganisha na Tanzania, na wana Mahakama ya Kadhi kwa mujibu wa katiba hiyo, basi hakika kwa makusudi Kama Tume ya Jaji Joseph Warioba, Joseph Butiku na John Kabudi ilivyofanya kudharau maoni ya kundi kubwa la nchi hii Waislamu, na Bunge hili nalo, litakua limeongeza Chumvi kwenye kidonda.

Then, Time will tell.

Ndo walewale wa "sishiriki sensa kwa kuwa hakuna kigezo cha dini..." Si mkahesabiane misikitini na makanisan, kwan hamfahamian? Hatujitaji kundi flan kupendelewa ati kwa kuwa ni wengi ama wamesoma sana ama sijui nn!
Katiba ni ya wote pamoja na wasio na hizi dini za kuletwa #period
 
heh heh sasa watakuwa jinsia gani ??

Nina maana kuwa Spika akitoka Zanzibar, Naibu atoke Bara; Spika akiwa Mwanamke, Naibu awe Mwanamme; na Spika akiwa Mwislamu, Naibu awe Mkristo. Ni mambo ya kubalance kama ambavyo Rais wetu Mhe Kikwete huwa anajitahidi kutosheleza wakati anaunda baraza ya Mawaziri, jee nimesomeka???!!!
 
Back
Top Bottom