BUNGE LA FEBRUARY NI MAALUMU KWA AJILI GANI NA LInAANZA NA KUISHA LINI?

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
NAOMBA KUULIZA WADAU BUNGE LA SASA NI BUNGE LA NINI?YAANI LITAKUWA LINAZUNGUMZIA NINI ZAIDI

NA JE LA NGE HILI NASIKIA LINAANZA WIKI IJAYO NI LINI HASA SIKU LINAANZA NA LITAISHA LINI

KAMA KUNA MDAU ANA RATIBA YA BUNGE HILI TAFADHALI ANIPATIE

ahsanteni

Kwa kawaida bunge uanza mkutano wa kwanza kila j4 na hufungwaga alhamis wakat kule zanzba uanza j5.hivyo bas kama ni nextweek itakuwa ni tr 9. mkutan huu ni wa kawaida na ni two weeks had alhams ya mtondogoopp

Litatusaidia kutofautisha wabunge walitumwa na wananchi, wabunge wasikilizaji na wapiga usingizi kabla ya bunge budget.

wiki moja itatosha kujadili hoja binafsi zote zilizotangazwa kupelekwa bungeni au ndio lipua lipua ??

Itakuwa ni kufunika mashimo tu na kujifanya wanatenda kazi za bunge kumbe ni usanii tu wa Wabunge wa CCM na spika

NAOMBA KUULIZA WADAU BUNGE LA SASA NI BUNGE LA NINI?YAANI LITAKUWA LINAZUNGUMZIA NINI ZAIDI

NA JE LA NGE HILI NASIKIA LINAANZA WIKI IJAYO NI LINI HASA SIKU LINAANZA NA LITAISHA LINI

KAMA KUNA MDAU ANA RATIBA YA BUNGE HILI TAFADHALI ANIPATIE

ahsanteni
Kikao cha Bunge kinaanza J.4 tar. 8/2/11 saa 3 asubuhi.

Press release ya Bunge itatoka kesho just to say kikao kinaanza J.4 na kitamalizika Alhamisi ya 17 saa 7 mchana.

Press release hiyo inatakiwa iseme kila kitakachojadiliwa lakini haitafanya hivyo zaidi ya kueleza kuhusu kipindi cha maswali na majibu.

Kazi ya kwanza itakuwa ni kwa spika kuwateua wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge huku zile kamati tatu muhimu kuliko zote, PAC, LAC, POC zikiwa chini ya uongozu wa kambi rasmi ya upinzani, kwa maana hiyo zitakuwa chini ya Wachadema this time Zitto akiongoza PAC, Tundu Lissu POC na John Mnyika LAC.

Kama kawa, kipindi cha asubuhi ni cha maswali na majibu na mchana ni hoja za serikali huku jioni ni majadiliano ambapo hutuba ya rais kulizindua bunge itajadiliwa ikiwemo Chadema kulaaniwa kwa jinsi walivyomdhalilisha JK kwa kutoka nje.

Alhamisi ndio siku rasmi ya Waziri Mkuu kuthibitisha ataweza kulimiliki Bunge kwa kujibu maswali ya papo kwa papo, swali la kwanza likitoka kwa Freeman Mbowe.

Shughuli kubwa haitakuwa ndani ya bunge bali nje ya Bunge. The lobby groups zitakuwa anga za bungeni wakati wote wakiwahonga wabunge wetu vibahasha vinene kwa jina la sitting alowances za kuhudhuria vi semina, warsha na Makongamano vitakavyoshehenezwa mjini Dodoma ili angalau waheshimiwa wabunge wetu wapate chochote kitu kuwalainisha wapunguze makali kwenye baadhi ya hoja.

Nitakuwepo kuwepo viwanjani hapo kuwaletea haya na yale nje ya Bunge.

GREAT THINKER THANKS SO MUCH,UMEFAFANUA VIZURI SANA BIG UP

SASA BADO NA SWALI MOJA HIZO KAMATI ZA KUDUMU NI ZIPI NA ZINADUMU MPAKA BUNGE HILI LIISHE AU HATA KAMA WATACHAGULIWA TENA 2015 KAMATI HIZO ZITAENDELEA NA JE NANI KAWATEUA MNYIKA,TUNDU NA ZITTO KWENYE HIZO KAMATI ULIZOTAJA?
POC,LAC NA PAC NI KAMATI GANI HIZI

tufafanulie tafadhali

Back
Top Bottom