Bunge la EA si haba

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
wamejaaliwa ..natumai watatuwakilisha vema
wabunge+1.jpg
 
wamejaaliwa ..natumai watatuwakilisha vema
.
Saint Ivuga ... vipi Kijana ... nini kinakusumbua ... mara aaah sijui wabunge si haba! ... (yaani unamaanisha wametosha/ wamejaa) au ... mara unaanza kusema oohh wamejaliwa! ... he vipi wewe kijana au umeshaanza kuanzisha njaa nini! ... njaa hizi jamani kwa kweli zinasumbua sana watu na zitaua wengi!

Ngoja nikusemee ... Mwali !!!!! njoo umuone rafiki yako huku ... anaendekeza njaa & bado hajajirekebisha!
 
.
saint ivuga ... Vipi kijana ... Nini kinakusumbua ... Mara aaah sijui wabunge si haba! ... (yaani unamaanisha wametosha/ wamejaa) au ... mara unaanza kusema oohh wamejaliwa! ... he vipi wewe kijana au umeshaanza kuanzisha njaa nini! ... Njaa hizi jamani kwa kweli zinasumbua sana watu na zitaua wengi!

Ngoja nikusemee ... mwali !!!!! Njoo umuone rafiki yako huku ... Anaendekeza njaa & bado hajajirekebisha!

ha ha ah kiongozi hayo mengine ya njaa umeyataja wewe ha ah aa
 
kuna mmoja atatuuza hapo hapo kwa urafiki wa kitandani na wakenya. Mi huwa naumia sana watu wanapochagua watu kwa ushabiki bila kuangalia ufanisi wa kazi wanayotumwa utakuwaje. Alishajipeleka ubalozi kutafuta bwana ili awasaidie kupata ardhi yetu. Muuza sura ni muuza sura tu!
 
tema mate chini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom