Bunge la aprili:serkali imekubali kuzingatia hoja za waangalizi wa eu-kitanzi kwa ccm?????????

Mtu wa Mungu

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
444
19
Source: Gazeti mojawapo la leo 7.3.2011
Kwamba katika muswada wa kuanzisha mchakato wa kuandika katiba mpya utakaowasilishwa katika kikao cha bunge kinachoanza 5.4.2011 serikali itazingatia hoja zote za msingi wa demokrasia kama alivyoainisha Mbunge wa Bunge la EU, Mhe. David Martin katika ripoti yake:-
(1) Matokeo ya kura za rais kuhojiwa mahakamani;
(2) Tume huru ya uchaguzi iliyo nje ya serikali;
(3) Mgombea binafsi kuruhusiwa;
(4) Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa kutoshirikishwa katika mchakato wa uchaguzi;
(5) Waandishi kuruhusiwa kuandika habari za hatua zote za uchaguzi;

Aidha serikali imejikomit kwamba wananchi watashiriki vikamilifu katika mchakato mzima wa kuandika katiba hiyo mpya.

La kufariji katika hili ni kwamba haya ni masharti ya wafadhili ambayo CCM ikijaribu kuingiza ujanja ujanja itanasa tu, maana nguvu ya umma ambayo CDM wananoa, itakuwa macho kuhakikisha kwamba hata yule spika wao kule bungeni atadhibitiwa na serikali kivuli ya CDM-huku nje umma ukisubiri kwa hamu kudhibiti vitendo vyo vyote kwa kumpigia kelele Mhe David Martin; kuhakikisha kwamba sauti ya umma ndiyo inatawala!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa vile idadi ya waTz walio na CCM moyoni wamebaki wachache, mchakato huu kwa CCM ni KITANZI!!!!!!!!!!!!??????????!!!!!!!!!kwa chaguzi baada ya katiba hii kuanza kutumika wakati wo wote hata kabla mwaka huu 2011 kuisha?????!!!!!!!!!!!!!
Kwa serikali ya Kikwete-no katiba mpya no money kutoka kwa wafadhili- na ndiyo mwisho wa CCM!!!!!!!!!!!!!!!
 
haya ndio yamekuwa yanasemwa na wapinzani tangu 1992. hivi ni lazima waseme "wafadhili" ndio serikali yetu ikubali?

macinkus
 
haya ndio yamekuwa yanasemwa na wapinzani tangu 1992. hivi ni lazima waseme "wafadhili" ndio serikali yetu ikubali?

macinkus

mkuu kwa serikali ya CCM wafadhili ndo mabwana wakubwa wao....
 
haya ndio yamekuwa yanasemwa na wapinzani tangu 1992. hivi ni lazima waseme "wafadhili" ndio serikali yetu ikubali?

macinkus

Mkuu huoni Mkwere kila siku anakwea pipa kwenda peleka bakuli lake kwa wafadhili badala ya kufanya kazi na watz ili matatizo yetu yatuondoke!?

Huoni serikali inashindwa kujenga mashimo ya vyoo na vyumba vya madarasa wakisubiri nchi wafadhiri wachangie kwenye bakuli lao wakati pesa ya kununua magari ya wabunge na mawaziri kila baada ya miaka mitano!
 
HAYA NDIO YAMEKUWA YAKISEMWA NA CDM SIKU ZOOOTE SIO WAFADHILI...!!!Wafadili ndio waume wa nchi hii...Yaani wafadhili wakikohoa tu nchi inatetemeka,Tutajitegemea linikuondokana na haya maisha tegemezi ...!!??
 
Mhh ili tusahau Dowans, this administration wanatuona mazuzu, always wana create something to move our attention on real issues, maana sasa woooote Loliondo, inawezekana Dowans washachukua chao, maana ilo bunge la Makinda watazungumza yataishia hapo hapo kwenye hansard, kama mnabisha muulize Kafulila
 
Back
Top Bottom