Bunge la 10 likiongozwa na mwanamama Tegemeeni kusikia haya hapa kwa Spika

bunge la mwaka huu likiongozwa na mwanamke tegemea kusikia maneno ya kitchen party bungeni kama!!!!!!!!!
"muheshimiwa waziri heshima yako inashuka"
"muheshimiwa mbunge limekuganda"
"muheshimiwa zitto unikome kama ulivyolikoma titi la mama yako"
"muheshimiwa utajiju"
..."muheshimiwa unalo"............ongezeni mengine jamani!!!!!!!

Wapinzani mutajijeijei
 
mhesh lyatonga mrema umefulia hadi unakosa dola yakupiga simu una tuma msg ya call me plz,ndo mana sura imekushuka ka uji uliokosa limao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom