Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

Hakuna cha bunge kule Dodoma. wananchi tunatakiwa kuandamana nchi nzima kumpinga spika ili aachie ngazi. kanuni zake zinatusaidia nini kama maslahi ya wananchi hayana nafasi?

well said!watz tuache woga na ujinga tuoneshe hasira zetu kwa vitendo.naamini wakati umefika wa sisi kuchukua hatua,YAMETOSHA SASA bah!
 
Habari nilizozipata ni kwamba klkao cha wabunge wateule kinachoendelea sasa kina lengo la kurekebisha kanuni ya 113(11) ya kanuni za bunge ili kuinyima fursa CDM kuongoza kamati muhimu za kudumu bungeni.
 
Tutajuta sana ingekuwa mheshimiwa sittayupo,aya yasingetokea. ndiyo hivyo kila mtendaji ktk serikali amewekwa mfukoni na mafisadi.
 
Kama wamekataa kuyajadili bungeni basi waendelee kuyajadili kwenye magazeti na vyombo vingine vya habari
 
hivi source lazima awe mwandishi unayemjua? na kama umemuliza mwandishi akawa hajui jua ndio maana jf ni pa muhimu kupita kila mara. wameingia kwenye zoezi la kupiga kura baada ya kugawanyika.
 
upuuzi!
huyu mama amekuwa kibaraka tu! ni aibu kwake, familia yake, nafsi yake, nasita kusema na wanawake wenzake kwani siamini kama wanaweza kufanya upuuzi anaotaka kuufanya huyu!
historia itamhukumu siku moja!
 
spika wetu yuko kazini, ndo kazi aliyopewa na akina makamba na wenzake na huo ni mwanzo tu, tutashuhudia mengi, wanajaribu kuwabeba
marafiki zao cuf?? toka lini ccm akawa na urafiki wa kweli?
 
kwa nini waunde sheria ama kanuni sasa? nia yao inaonekana si nzuri sio? basi wacha watangaze kisha tuite maandamano ya kumung'oa Rais na spika
 
ccm ni sawa na mtu aliyeshikwa na tubo la kuahara, atajizuia ila itafika kipindi lazima aachie uhalo wake . Acha tusubiri tu.
 
naona huo utakua ni mwanzo mzuri sana wa ku practise ya TUNISIA na EGYPT hapa tanzania!
 
Chadema wametoa tamko kwenye magazeti ya kesho kuhusu kikao hicho cha kamati ya kanuni kilichoundwana kwa dharura na Makinda kinachoendelea mpaka sasa. Lissu anawepelekesha puta kuhusu uvunjwaji wa kanuni. Wajumbe wamegawanyika na wameamua kupiga kura. Ccm upeo wao wa kung'amua mambo ni mdogo sana. Kwa kuwa wenyeviti wa kamati hizi wananguvu sana bungeni wako radhi wapindishe kanuni wapewe vibaraka vyao. Lakini kuchakachua kunasitiri mambo ya muda tu mwisho wa siku itakula kwao. Ubabe wao unazidi kutia watu hasira. Dhuluma hii inazidi kutonesha vidonda.
 
Ni vizuri maana CCM kinachowauwa ni uchakachuaji wanaofanya,

1995 walimchakachua Dr. Slaa Karatu kwani wananchi walimpa kura nyingi kura ya maoni wakamchinjia baharini ana wa cost hadi leo.

Juzi tu walimchakachua wenje Mwanza mafuriko hadi dialo yalimpata.
Na shibuda naye walimchakachua badala yake tukapata majimbo mawili.

Kwahiyo waendelee hivyo hivyo kama kawaida, naamini wananchi watashinda.

Wangekuwa wanafanya hivyo kwa manufaa ya wananchi kusingekuwa na shida lakini wao wanafanya hivyo kwa manufaa ya kina RA na chenge.
 
These are the sort of stuff i really like. things that made me mad over this f*u*c*king chama cha mapinduzi.

Go to hell Chama cha Mapinduzi!!

Go! Go! Go!

The time is now! Go to hell CCM!! I hate you CCM!!

Go crashing!!!

Go cursed!! Go CCM Go!!!
 
Back
Top Bottom