Bunge kuchunguza ufisadi wa Sh. 200 bilioni za Meremeta

Ok guys stop there!!!! kwa kuletwa hii ni proof kwamba"THE SHIMBO STORY IS ABSOLUTELY TRUE" if you can read btn the letters!!!!!!!!!!!!!!! Cry my beloved country!!!!!!!

naunga mkono kabisa hoja hii nyambala. why now wakati pinda alisema hii issue ni untouchable? its really bcs of shimbo.
 
"Niko tayari kusulubiwa kwa hili la meremeta" Mizengo Pinda - Waziri Mkuu, Bungeni,Dodoma.
sasa kumetokea nini wanakubali lichunguzwe?
 
Meremeta ni siri ya jeshi,ufisadi wa jeshi,utapeli wa jeshi na ulaghai wa jeshi kwa wananchi wa tanzania,inawezekana kweli mtu ukope 10 then ulipe 132?duuu
 
Back
Top Bottom