Bunge Kivuli la Jamii Forum

Status
Not open for further replies.

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Dear Members
Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti...
je tungepewa fursa ya kumchagua spika na kuteuwa mawaziri wa wizara tofauti humu JF kwa kuzingatia umahiri wao katika hoja zao tungewapendekeza kina nani?
Just give ur idea regardless of politics itikadi etc
 
lakini mkuu hujasema wabunge wangetokaje tokaje ,mana spika bila kuwa mbunge itawezekana?ama wanaotakiwa kuwa wabunge ni nani je ni member,junior member,senior membeq au premium members,tuweke wazi mkuu mana wazo lako ni la kipekee
 
hahaaaaaaaaaaa mie yangu macho mmeshaanza kubishana hapo mie nadhani watokane na active members bila kujali cheo
 
lakini mkuu hujasema wabunge wangetokaje tokaje ,mana spika bila kuwa mbunge itawezekana?ama wanaotakiwa kuwa wabunge ni nani je ni member,junior member,senior membeq au premium members,tuweke wazi mkuu mana wazo lako ni la kipekee

Kama nilivyosema ACTIVE members...wale wenye michango motomoto bila kujali ranks zao humu jamvini.out of that you can create a list of ministers ,speakear ,PM na hata wasemaji wa kambi ya upinzani
hope umenisoma Nziriye
 
Mi naomba Uspika! au sisi ndo tuwe chama tawala sisiem na cuf ndo wawe wapinzania so wao waunde kambi rasmi ya upinzania humu JF
 
yaaani ntavokuwa nawakalisha chini ccm, yaani MHESHIMIWA KAA CHINI! NIMESEMA KAA CHINI!, kama makinda tu :)
 
Kama karatu ambapo CCM ndo chama cha upinzani na CDM chama tawala..
humu wamo wasemaji wa upinzani wapo akina kishongo,nungunungu,jeykey wa ukweli,mwiba etc
 
Hili nalo neno...Inkoskaz ungefaa tu kuwa spika kwa tiketi ya "C hama Chetu" whereby mijadala miwili tu ingetupa mwelekeo km bado uendelee na wadhifa wako ama urudi mapokezi kusubiri kazi nyingine!
 
Hahaha,,hiyo tunawaachia waheshimiwa wabunge wapige kura...
Hata hivyo nikiwa spika nitakosa nafasi ya kuchangia hoja na kuuliza maswali!
 
Kwa kua katiba ya 'Chama Chetu' inatambua kwanza ubunge kama kigezo cha kuchangia mijadala then ukiwa mbunge ndiyo uwe Spika basi bila kuadhiri kanuni ndogo ya uteuzi huu unaweza kutundika koti lako la Uspika kisha ukawa member wa floor na baada ya kuchangia utarudia koti lako as spika..yes...inawezekana
 
Ni kwelio mkuu,ni suala la katiba tu...spika anakuwa neutral
 
yaani hata JF tunachakachuana wenyewe kwa wenyewe, uspika si nilishauwahi, labda unaibu ndo bado uko wazi
 
Hapo zamani...enzi zile senene waliadimika ila panzi aina ya nzige wakaharibu mazao kulikua na amri toka kwa Mwenyekiti wa chama inayotamka wazi aidha uvue magwanda uwe mwanasiasa ama ubaki nayo na kushika mtutu...huu mfumo ulikua mzuri sana...nadhani hata hapa kwenye uspika ingefaa uwe applicable ili hata likitoka kubwa linalogusa Chama Spika asitetereke kimaamuzi...
 
Msibishane jamani pendekezeni halafu apigiwe kura mi nampendekeza Mzee Mwanakijiji awe Spika.
 
Dear Members
Natamani mkusanyiko huu wa ACTIVE members JF ungelikuwa ni bunge fulani hivi likiwa na Speaker,Waziri mkuu,Mawaziri na wabunge kutoka vyama tofauti...
je tungepewa fursa ya kumchagua spika na kuteuwa mawaziri wa wizara tofauti humu JF kwa kuzingatia umahiri wao katika hoja zao tungewapendekeza kina nani?
Just give ur idea regardless of politics itikadi etc

Nafikiri hili ni bunge huru, naweza kuleta habari za umeme, afya, uchumi, elimu, n.k

Moderator ndiye Spika.
 
Naombeni, na nautaka uwaziri wa Nishati na Madini... Ili nitoe JF view ya suluhisho la tatizo umeme. Invisible upoooh?
 
kuna vigezo vyake mpaka ufikie huko kama vile mchango waku kwa JF ulilenga kwenye nini hasa!!kama mambo ya nishati basi utapata bila tatizo

kama jinsi JF ilivyogawanywa katika categories tofauti basi na mawaziri husika watatoka humohumo,
kwa mfano waziri wa afya-jf doctor.
waziri wa sheria na katiba-jukwaa la sheria,
waziri wa elimu-jukwaa la elimu,
waziri wa biashara na viwanda/waziri wa fedha-business and economic
waziri wa michezo-sports & entertainment forum
etc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom