Bunge Jipya: CHADEMA yapaa, CCM yaporomoka!

the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

kweli na bongo zenu zimechakachuliwa vilevile
 
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

Pole inaonyesha hesabu ulifundishwa na mwalimu wa English
 
Wanabodi,
Uchaguzi umeisha, pamoja na kuukosa urais kwa mgombea wa Chadema kwa sababu zozote zile ikiwa ni pamoja na uchakachuaji, lazima tukubali, Chadema inastahili pongezi, na imetingisha kiukweli kweli na sio kutikisa tuu kama walivyodai.

Kutoka viti 4 vya kuchaguliwa bunge lililopita, mpaka viti zaidi ya 20, ni ongezeko la asilimia zaidi ya 500%, huku ni kupaa wakati CCM imeporomoka kwa asilimia kadhaa!.

Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.
Sahihisho:
Niliwahesabu Majimbo manne tuu
1.Karatu-Dr.Slaa
2.Kigoma Kasaskazi- Zitto Kabwe
3.Moshi Mjini -Ndesamburo
4.Tarime-Mwera
nikalisahau
5-Mpanda Kati -Arfi

hiyo idadi halisi ni kutoka 5-20 ni ongezeko la Asilimia 400%.

Na bado kuna majimbo mengine watachukua.... Nkenge, Mpanda Mjini, Mpanda Kati. Achilia mbali yale yatakayotenguliwa na Mahakama kisha uchaguzi mdogo kuitishwa
 
Pasco mbona unapunguza idadi? wapo 22 CHADEMA, 2 CUF, 4 NCCR, 1 TLP, na 1 UDP. Hao ni kwa upande wa Bara, kwa upande wa visiwani CUF wana 22.

Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.
Sahihisho:
Niliwahesabu Majimbo manne tuu
1.Karatu-Dr.Slaa
2.Kigoma Kasaskazi- Zitto Kabwe
3.Moshi Mjini -Ndesamburo
4.Tarime-Mwera
nikalisahau
5-Mpanda Kati -Arfi

hiyo idadi halisi ni kutoka 5-20 ni ongezeko la Asilimia 400%.[/QUOTE]
 
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

Matatizo ya Shule za Kata Haya
 
Back
Top Bottom