Bunge Jipya: CHADEMA yapaa, CCM yaporomoka!

Uchaguzi umeisha , hivi sasa gumzo si CHADEMA tena yameisha pita hayo na mgombea wao slaa , hivi sasa watu wana discuss nafasi ya u-spika na muundo wa baraza la mawaziri.

Na ahadi za CCM za zaidi ya trillion 90 kwa miaka 5.
Kupunguza inflation angalau ikaribie ile aloachiwa na mkapa
 
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

Kwi! kwi! kwi! Th! th! th! ha ha ha ha!

Kha! duniani kweli kuna vituko, we umesoma wapi? akh, pengine hata hukusoma. Sasa natangaza rasmi, JF imevamiwa, eti na wewe sasa unataka kujiita Great thinker, aiseh, umepotea njia, wewe urudi kuleee facebook, yaani baadhi ya watu waliojiunga JF wiki nina mashaka nao sana.

Kukusaidia, unapo-calculate percentage change, kila variable inatakiwa ijitegemee, kwa hiyo unapima CHADEMA (as a variable) mwaka huu 2010 ukilinganisha na hiyohiyo CHADEMA mwaka 2005, sasa wewe hapo ume-mix base variables ndio maana umepata hizo rubbish zako ulizopost:

Look here:

Let the number of seats in 2010 be X2 and number of seats in 2005 be X1

Then, percentage change is derived as follows;

(X2-X1)/X1

Ukifanya hivyo ndio utapata jibu sahihi ambalo ndio hilo ongezeko la zaidi ya asilimia 400! CLEAR?

Hizi ni hesabu za form one! Stupid idiot!
 
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

Dogo unajidhalilisha tu humu JF. Maliza kwanza shule hiyo ya kata mbona unakuja mbio hivyo?
 
Hesabu inayongelewa ni ya nyongeza ya viti na sio share kwenye bunge, hesabu rahisi ni ikiwa ulikuwa na chungwa 1 ukapata la pili machungwa yameongezeka kwa asilimia mia (100%). hata hivyo CHADEMA ongezeko ni 400% na si 500% 16/4*100=400%, ongezeko ni kubwa na CCM pia kunapigo kwani kama JK alipata 80+% 2005 na sasa anapata 60+% anguko la 20% si dalili njema hata kidogo kwani BWM alito 60+% na kwenda 70+% kama mwanaCCM imeniuma na ninawapongeza Chadema
 
Mhh, hesabu gani hizo za asilimia 500, wakati ni ongezeko 4-20 + against 239-(4 +), be careful. thanks

Ubishi mwingine ni kwa sababu ya kuparamia hoja kama PUNDA, kilichosemwa ni mafanikio ya chadema toka viti 4 mpaka 20 ambavyo amewapoka CCM na hesabu ya wabunge wa chama imepanda "20/4 X 100% = 500%" Nkosiyamakosini ungempigia DR. Slaa ungenufaika na ELIMU ya Bure ya uelewa.
 
Pasco tena ushindi huo wa 500% zingatia umekamata majimbo yenye hadhi kama - Ubungo, Kawe, Ilemela, Nyamagana, Arusha Mjini, Mbeya Mjini, Moshi Mjini - hii inaonyesha kuwa CCM hawakubaliki katika sehemu za mijini ambapo watu wana elimu ya uraia.

JK ataapishwa lakini akumbuke kuwa wananchi zaidi ya 60% toka Dar, Mwanza, Arusha, Mbeya, Moshi na Iringa HAWAMTAKI yeye pamoja na chama chake.

Hii ni challenge kubwa sana kwa CCM hii miaka 5 ijayo. Pongezi zetu za dhati kwa DR. Slaa kwa kazi kubwa sana aliyoifanya akishirikiana na chama chake kwa Ujumla.
well said. heshima mbele!
 
Sina shaka una mswaki (F) wa hesabu ndiyo maana mnashindwa kuchakachua bila kujulikana. UKiwa na maembe manne, ukaongezewa manne ni sawa na ongezeko la asilimia ngapi? Kama siyo 100%? Kama asilimia ni shida basi tumia folds na utaona ni ongezeko la 5 folds (au mara tano zaidi)!

CHADEMA has enjoyed an increase of 20/4 * 100 = 500%

Na wewe umekosea kidogo kama unaongelea % increase; basi itakuwa hivi (20-4)/4 * 100% = 16/4*100% = 400%
 
Kwi! kwi! kwi! Th! th! th! ha ha ha ha!

Kha! duniani kweli kuna vituko, we umesoma wapi? akh, pengine hata hukusoma. Sasa natangaza rasmi, JF imevamiwa, eti na wewe sasa unataka kujiita Great thinker, aiseh, umepotea njia, wewe urudi kuleee facebook, yaani baadhi ya watu waliojiunga JF wiki nina mashaka nao sana.

Kukusaidia, unapo-calculate percentage change, kila variable inatakiwa ijitegemee, kwa hiyo unapima CHADEMA (as a variable) mwaka huu 2010 ukilinganisha na hiyohiyo CHADEMA mwaka 2005, sasa wewe hapo ume-mix base variables ndio maana umepata hizo rubbish zako ulizopost:

Look here:

Let the number of seats in 2010 be X2 and number of seats in 2005 be X1

Then, percentage change is derived as follows;

(X2-X1)/X1

Ukifanya hivyo ndio utapata jibu sahihi ambalo ndio hilo ongezeko la zaidi ya asilimia 500! CLEAR?

Hizi ni hesabu za form one! Stupid idiot!
The Following User Says Thank You to Deodat For This Useful Post:

Bigirita (Today)​
 
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

Wale wale waliokimbia mathematics Form Two!!!!!
 
mimi macho na masikio kwenye hesabu ndiyo maana hata NEC wametumia 5 day kujumlisha tu na kuweka kwenye %
 
the dreamer,
haya tuanze. kuna kura 4 kati ya 239 sawa na 1.67% then unaongeza uwezo toka kura 4 hadi 20, sawa na 8.37%
kwa hiyo unatokea 1.67% kwenda 8.37% sawa na ongezeko la 6.70%
Hii ni taaluma mwana jf, hakuna mbege wala chadema hapa. thanks

Ulisoma wapi wewe? hesabu za magazijuto nini au ndio madhara ya tuition haya? hujui hata hesabu za darasa la tatu. Kwa njia yoyote unayotaka the answer is the same, haya twende hapa 8.37/ 1.67 * 100= 501.2%. Hiyo ni mbege tu hata kama unakanusha hamna mbege, hahahaah!
 
Hiyo ni kazi na mchango mkubwa wa dr, slaa the great

Mkuu, usimwite Dr.Slaa the great huko ni kumkosea heshima mshindi halali kwa mujibu wa sisi wapigakura katika kinyang'anyiro cha urais. Maana kumwita "The Great" ni sawa na kumfananisha na wacheza sinema za kibongo akina Kanumba na Ray. Tafadhali usitumie majina ya kihuni hayo kum-refer Kiongozi wetu mpendwa Dr.Wilbroad Slaa
 
Wanabodi,
Uchaguzi umeisha, pamoja na kuukosa urais kwa mgombea wa Chadema kwa sababu zozote zile ikiwa ni pamoja na uchakachuaji, lazima tukubali, Chadema inastahili pongezi, na imetingisha kiukweli kweli na sio kutikisa tuu kama walivyodai.

Kutoka viti 4 vya kuchaguliwa bunge lililopita, mpaka viti zaidi ya 20, ni ongezeko la asilimia zaidi ya 500%, huku ni kupaa wakati CCM imeporomoka kwa asilimia kadhaa!.
.
Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa
wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.

Good news! amakweli Dr Slaa kaleta mabadiriko so far! hivi sio 400% kweli wakuu? au hesabu zangu zimeanza kuzeeka!

  • Step 1: $5 to $6 is a $1 increase
  • Step 2: Divide by the old value: $1/$5 = 0.2
  • Step 3: Convert 0.2 to percentage: 0.2×100 = 20% rise.
Our case,
(20-4) *100=400% rise.:smile-big::thumb:
------
4
 
Kama nii zaidi ya viti 20 basi ni kweli up to 500% hao CCM kila kitu kinawashinda lakini sasa wataona hizi njia za kutafuta percentages humu! laaa! wataqualify kuchakachua vizuri next election! Mungu tubariki tuondokane na janga hili!
 
Ni viti 20 au 25? Mwaka 2005 walikuwa na wabunge wa kuchaguliwa 5 na viti maalum 6...kuleta jumla ya wabunge 11!
Lakini pamoja na kuweza kuongeza viti vya ubunge...hatuwezi kukubali matokeo!!
 
Wanabodi,
Uchaguzi umeisha, pamoja na kuukosa urais kwa mgombea wa Chadema kwa sababu zozote zile ikiwa ni pamoja na uchakachuaji, lazima tukubali, Chadema inastahili pongezi, na imetingisha kiukweli kweli na sio kutikisa tuu kama walivyodai.

Kutoka viti 4 vya kuchaguliwa bunge lililopita, mpaka viti zaidi ya 20, ni ongezeko la asilimia zaidi ya 500%, huku ni kupaa wakati CCM imeporomoka kwa asilimia kadhaa!.

Wakati mshindi atatangazwa leo, na hakuna ubishi ni mgombea wa CCM, wana CCM wote wenye akili timamu, japo watafurahia ushindi wao, lakini kimoyomoyo, wanajua kwa dhati, ndani ya mioyo yao, Chadema sio chama cha kubezwa ila kama kawaida, mataahira wasio na uelewa wa kweli wa mambo, hawatakosena kuibeza Chadema!.

Huyu Pasco ni mnafiki wa kutupwa.... endelea tu kudaganya wasiokufahamu
 
Sorry Niliwahesabu Majimbo manne tuu
1.Karatu-Dr.Slaa
2.Kigoma Kasaskazi- Zitto Kabwe
3.Moshi Mjini -Ndesamburo
4.Tarime-Mwera
nikalisahau
5-Mpanda Kati -Arfi

hiyo idadi halisi ni kutoka 5-20 ni ongezeko la Asilimia 400%.
 
Back
Top Bottom