Bunge hili tukufu

Waheshimiwa wabunge hili siyo bunge la nanihii kwa hiyo kufika j5 wote muwe na vielelezo kama mnayoyasema ni kweli vinginevyo kusema uongo humu siyo ruhusa, ila kwa waziri mkubwa tu ndiye anaruhusiwa kusema uongo ahh samahani siyo kusema uongo ila anaruhusiwa kutereza kidogo
 
Mh spika bado mh pasco jr ngumi hajaapishwa kuwa mbunge wa bunge letu tukufu.
 
Taarifa kwa spika,naomba waziri na m/kiti wa viti maalumu aende jukwaa la juu la wageni mtoto wake analia,hivyo ajaribu kumdanganya na vibagia.
 
Taarifa kwa spika,naomba waziri na m/kiti wa viti maalumu aende jukwaa la juu la wageni mtoto wake analia,hivyo ajaribu kumdanganya na vibagia.

shukran kwa taarifa. Wazir wa viti maalum wahi kule ukawape uongo mtakatifu
 
Hahahaha,samahani Mh spika hivi mtu mkuu wa Jf akisema uongo........

shukran kwa swali lako zuri mheshimiwa mbunge. Huo tutauchukulia kama uongo mtakatifu. Yan uongo ambao ni kwa faida ya jamvi
 
Mh. spika nataka Kutafakari* tafakari kwa makini baada ya robo saa nitaanza kuchangia hoja

*Kutafakari means kulala.. ni lugha ya kiheshimiwa
 
Mh spika naleta hoja..........babu wa loliondo aletwe hapa bungeni si unjua ni noma kwetu kwenda kupanga foleni kule!
 
Mh. Supu-Pika, naomba bunge lako tifutifu (tukufu) litengua sheria ya kufanya uchaguzi wa wabunge na raisi kila baada ya miaka mitano, kwani miaka 5 ni michache sana wengine sijui kama tutarudi wakati ndio kwanza nimenunua kiwanja, nitamaliza kujenga kweli ndani ya miaka 5?

napendekeza ubunge na uraisi uwe ni wa milele hadi ufe ndio jimbo lako lifanye uchaguzim ila nawatahadharisha wenzangu wawe na hirizi za kutosha ili watu wasiwauwe na kutaka wachaguliwe wao.....

naomba kuwasilisha
 
Muhishimiwa suppika, baada ya kupokea malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanafunzi, nimeamua kuleta hoja. Ni hivi, wanataka bei isibaki kuwa nusu ktk madaladala tu, bali hata ktk magesti na madisco. Coz hizi ni sehemu muhinu za kurefresh maindi zao. Nikiwa kama waziri nyuhusio za kuibia, nawasilisha.
 
Mh spika naleta hoja..........babu wa loliondo aletwe hapa bungeni si unjua ni noma kwetu kwenda kupanga foleni kule!

hoja ya nyongeza: kama babu akigoma kuja huku mjengoni basi napendekeza kikao hiki tukafanyie loliondo ili kila mhishimiwa apate fursa ya kupiga kikombe pale anapohitaji...
 
Mh.Spika taarifa,waheshimiwa wabunge wanalalamika kuwa kwa babu hakuna network ndo maana hawachangii na foleni ni kubwa sana.
 
Mh.Spika taarifa,waheshimiwa wabunge wanalalamika kuwa kwa babu hakuna network ndo maana hawachangii na foleni ni kubwa sana.

mheshimiwa mbunge swala hilo tunalishughulikia, tunaangalia uwezekano wa kuweka mnara hata mmoja ikiwa ni kama suluhisho la muda mfupi tu. Pia tumeboresha miundo mbinu kwa kuwawekea mahema wananchi.
 
Mh. spika nataka Kutafakari* tafakari kwa makini baada ya robo saa nitaanza kuchangia hoja

*Kutafakari means kulala.. ni lugha ya kiheshimiwa

sawa mheshimiwa mbunge, wewe tafakari sisi tunasubiri hoja zako
 
Mh spika naleta hoja..........babu wa loliondo aletwe hapa bungeni si unjua ni noma kwetu kwenda kupanga foleni kule!

hapana napinga hoja mheshimiwa mbunge. Mimi sioni noma yoyote kwani na sie pia ni binadamu kama binadamu. Pia ni miongoni mwa watanzania
 
Muhishimiwa suppika, baada ya kupokea malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wanafunzi, nimeamua kuleta hoja. Ni hivi, wanataka bei isibaki kuwa nusu ktk madaladala tu, bali hata ktk magesti na madisco. Coz hizi ni sehemu muhinu za kurefresh maindi zao. Nikiwa kama waziri nyuhusio za kuibia, nawasilisha.

loh! Hawa wanafunzi kiboko. Ila shukran mheshimiwa mbunge. Tumsubiri waziri wa elimu aje kuiongelea hii mada
 
hoja ya nyongeza: kama babu akigoma kuja huku mjengoni basi napendekeza kikao hiki tukafanyie loliondo ili kila mhishimiwa apate fursa ya kupiga kikombe pale anapohitaji...

wanaafiki waseme ndiyoo(bofya thanx)
wasioafiki waseme sio
 
Hivi mhe. Jmisana, spika amesemaje vile? Maana mi nimegonga meza tu baada ya kustuka usingizini.
 
Back
Top Bottom