Bunge: Hatamaye utaratibu wa bunge kukaa kama kamati umeparanganyika

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Jamani nifuatilia kwa makini na kuona spika asipokuwa makini wabunge hawajadili tena bajeti kama kamati.

Kwa nini!

Dhana ya bunge kama kamati ni kupitia kifungu kimoja hadi kingine kuangalia kila kama kuna mapungufu, ya mafungu ya hela au kilichobangwa.

Cha ajabu wabunge wengi siku hizi badala ya kufanya hivyo wanasimama wote kwenye kifungu 10001. Ambo inasemekana kulingana na taratibu kipo kwa ajili ya kumuuliza waziri maswali ya sera tu.

Lakini pia wabunge wengi wanaouliza maswali ambayo hayapo kwenye hoja husika matokeo yake hoja husika haipata muda muafaka unaotakiwa...

Mimi inanisikitisha sana... maana Spika asipokuwa makini ndio mijadala inapoteza dira hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
""......amechaguliwa kwa sababu ya uwezo, uzoefu na umakini wake...."" hii ilikuwa ni sehemu ya pongezi kutoka kwa Rais dikteta Kikwete
 
""......amechaguliwa kwa sababu ya uwezo, uzoefu na umakini wake...."" hii ilikuwa ni sehemu ya pongezi kutoka kwa Rais dikteta Kikwete

Ikiwa Kikwete ni dikteta Nyerere utamuitaje?

Nna uhakika jibu ni Mtakatifu! lakini nasubiri.
 
Back
Top Bottom