Bunduki hazitamaliza matatizo yetu - Kikwete

Aanze fujo, aharibu mali za watu, halafu waachiwe waendelee, wasidhibitiwe? Mnanshangaza! Vibaka wakiiba endiketa tu za gari mnawapiga tairi, leo hawa wanachoma magari na kuhatarisha maisha ya raia kibao, waachiwe? No.

Tandika risasi wao na wanao washawishi.

khaaaah! Hii sa too much, mjin¥a wewe usie na roho ya utu. yani wewe unavyonipa hasira kwa upupu wako dah!
Ni hv tu nimefundishwa ustahamilifu tangu utotoni mana ningeandika neno baya sana kwako!
Hv wewe hujui mateso wanayopata wa tz na wakidai haki zao polisi wanawaua tena risas za moto? Hv unaishi dunia gani wewe?mbna huna huruma mtoto wa kike? Hv unakubali kwa moyo mmoja wa tz watandikwe risasi?! Dah wewe mwanamke wewe....ULAANIWE mpaka cku unaingia kaburini.
 
Wanojidai kuhamasisha na kushadidia maandamano na uvunjifu wa amani kwa matamanio yao ya kisiasa, halafu askari wanapowanyuka risasi hao wavunjaji amani wapate kusema serikali inaua, waefilisika kisiasa.

Askari zetu wawe makini kulinda amani wakati wote na iwatandike risasi wakati wowote wanapoona kuwa wanahatarisha au kuvunja amani.

Sheria ya Ugaidi iliyo sainiwa haraka haraka na Mkapa hapo ndio mahala pake kutumika. Ikiwa mwanasiasa anahamasisha maandamano ya uvunjaji wa amani huyo kama si gaidi ni nini? Na anaeingia mtaani akaanza kuharibu mali za raia na serikali wasio na hatia huyo kama si gaidi ni nini?

Sheria inaturuhusu kutandika risasi hawa magaidi kwa hiyo tuwatandike tu bila mzaha.

Magaidi wanajulikana ni akina nani .Hahaa usitake watu waanze .Wewe kumbe mpuuzi saana yaani sababu za siasa na haki za watu umeleta sheria za ugaidi .Magaidi wanajulikana duniani ni kundi gani sasa usitake kuanza hapatakalika .
 
Aanze fujo, aharibu mali za watu, halafu waachiwe waendelee, wasidhibitiwe? Mnanshangaza! Vibaka wakiiba endiketa tu za gari mnawapiga tairi, leo hawa wanachoma magari na kuhatarisha maisha ya raia kibao, waachiwe? No.

Tandika risasi wao na wanao washawishi.
Wanaofisadi Taifa wapewe madaraka! Wonderful
 
Kwa hiyo umeona bora rais wako awashauri magaidi wa Sudani wakae wazungumze ila wa ndani wapigwe risasi
huna lolote kwanza kamkumbushe Nepi bado siku mbili abakie uchi wa mnyama.

Kule kuna vita, hapa kuna vurugu zinazochochewa na watu wachache kwa uchu wa madaraka, wanashindwa kuonesha mifano hai ya utawala bora na wanashindwa siasa za kulumbana kwa hoja, wanamua kuchochea fujo, migomo, maandamano, yanayopelekea uvunjifu wa amani. Simple solutio, ukiwambie watawanyike wakikataa, na wakishaanzisha vurugu ambazo zinapelekea uharibu wa mali, madhara kwa raia wengi, wakizidi unakndamiza risasi.

Kuondoka au kutokuondoka hilo si tatizo, tatizo ni present. Wameondoka kina firauni wakaacha mahekalu ambayo mpaka leo hayajulikani waliyajengaje, itakuwa ccm au cdm? hilo usiwe na shaka nalo, hakuna ataebaki madarakani daima milele, wewe na mimi na wote tutaondoka.
 
Nina ungana na kauli yako FF ila nashangaa kuwa mkuki kwa nguruwe ni halali. Chenge na genge lake, Kagoda n.k wao hawasitahili risasi?Kikwete amewaambia wa sudan kuwa risasi si suluhisho na wewe mshawishi wa kikwete kwa hilo unasemaje. Nina imani unatumwa na una shughuli maalumu kwenye hili jamvi, lakini ingekuwa busara kwako kutoa mchango unaojenga kwa manufaa ya jamii.Nasikitika kusema kwamba kwa sasa jamvi hili limeanza kupoteza umaarufu, kwani mulio wengi humu mko kuwakilisha vyama vyenu vya siasa baadala ya kuchangia hoja zenye manufaa ya Taifa.
Siku zote nimekuwa nikisema, ili tanzania tuondoe tatizo la corruption na ubadhirifu wa mali za wananchi, iwekwe sheria kama ya China. Mtoa rushwa na mpokeaji rushwa wale risasi za kisogo. Kama serikali inachelea kufanya hayo raia fulani wanaohamasisha vurugu za mitaani waunde "elimination squad" ya siri, wawe wanawakandamiza risasi tu wizi wote, mradi kuwe na ushahidi kamili kama kwa chenge na usiwe circumstantial. Mbona mie ntafurahi sana. Lakini la kuhamasisha vurugu mitaani sikubaliani nalo.
 
Kule kuna vita, hapa kuna vurugu zinazochochewa na watu wachache kwa uchu wa madaraka, wanashindwa kuonesha mifano hai ya utawala bora na wanashindwa siasa za kulumbana kwa hoja, wanamua kuchochea fujo, migomo, maandamano, yanayopelekea uvunjifu wa amani. Simple solutio, ukiwambie watawanyike wakikataa, na wakishaanzisha vurugu ambazo zinapelekea uharibu wa mali, madhara kwa raia wengi, wakizidi unakndamiza risasi.

Kuondoka au kutokuondoka hilo si tatizo, tatizo ni present. Wameondoka kina firauni wakaacha mahekalu ambayo mpaka leo hayajulikani waliyajengaje, itakuwa ccm au cdm? hilo usiwe na shaka nalo, hakuna ataebaki madarakani daima milele, wewe na mimi na wote tutaondoka.
Wewe matope kabisa unafikiri vita vya Sudani anavyovililia faza fox wako vilianza bila vurugu
tumeshajua lengo lake kwa sababu tanzania tumegoma kujiunga na OIC analipiza kisasi.
 
Back
Top Bottom