Bunduki haitoshi

Tidito L

Member
Jan 23, 2011
97
16
Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh.
Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki.
Mwenye kujua dawa yenyewe naomba anipe maelekezo ama adress niweze fanikia.
 
Hii peleka kule kwa wakubwa ndo watu watachangia kwa raha zao hapa aibu bana

Du ila heading imenichekesha haitoshi wapi sasa?? Labda umepata mashine kubwa kuzidi wewe tafuta saizi yako
 
Hii peleka kule kwa wakubwa ndo watu watachangia kwa raha zao hapa aibu bana

Du ila heading imenichekesha haitoshi wapi sasa?? Labda umepata mashine kubwa kuzidi wewe tafuta saizi yako

Dena ..............sayitaa. kweli unaona aibu.
 
Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh.
Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki.
Mwenye kujua dawa yenyewe naomba anipe maelekezo ama adress niweze fanikia.
kwani hiyo bunduki kwa sasa ni size gani?nani kakwambia kuwa haitoshi?machangu au mkeo?
 
Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh.
Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki.
Mwenye kujua dawa yenyewe naomba anipe maelekezo ama adress niweze fanikia.

mi na bazooka vip itakufaa ukipendezewa zaid ntakupa na c4 c bunduki haitosh
 
Mkuu ulijaribu kuwinda tembo kwa kutumia bastola nini!!!!!! :A S 13: Hamishia hoja chumbani watu wajiachie!!!!:rain:
 
Sasa kubwa ya nini?Tatizo sio kuwa na bunduki kubwa bali ni umahili wa kuitumia hasa ktk kulenga shabaha!Wengine wana ndogo kuliko yako lakini inatosha kabisa hata kuua tembo!!Wapo wenye kubwa ila hata sungura aiuwi!!!anyway ukililia wembe uchukue:nenda ktk magazeti ya udaku wana matangazo mengi ya waganga wa kurefusha,kukuza hadi inchi 8 na kuchelewa kufika kileleni hadi dakika 90!!!
 
sio lazima kutumia bunduki peke yake,kama haitoshi tumia nyenzo nyengine kama mkuki,jambia mweeh :A S 13::A S 13:
 
ukipata mnyama w kuwinda njoo nikodishe mimi nina bomu kabisa .....nikipiga nateketeza.
 
Dawa zinazosadikika kuwa za Kichina, maarufu kwa jina la 'mchina' na zinazoaminika kutumiwa na baadhi ya wanawake ili kukuza makalio yao, zimezua balaa kwa mkazi mmoja wa jijini Dar Es Salaam.

Tukio la kijana Gasper Honza, mkazi wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, mengi yameibuka baada ya kuelezwa kuwa, nyeti hiyo inazidi kukua.

Bado imesisitizwa kwamba, kukosewa kwa dozi ya ‘hipson’ ambayo ni maalum kwa ajili ya kukuzia makali ndiyo chanzo cha nyeti hiyo kugeuka ‘zigo’ la kilo 10.

Katika tukio hilo, Honza alikaririwa na gazeti moja la kila siku akielezea mkasa mzima kuwa alifanya uamuzi huo baada ya kutelekezwa na wanawake watatu kutokana na tatizo hilo, hivyo alitaka kuinusuru ndoa yake na mke wa nne.
Alisema kuwa, alitumia dawa hizo baada ya kupata ushauri kutoka kwa rafiki yake wa karibu aliyemtaja kwa jina la Sebastian Mkwema ambaye aliwahi kuwa na tatizo kama hilo.

“Mkwema aliniambia nimpe elfu 30 ili kupata dawa ya kukuza nyeti zangu, siku tatu baadaye aliniletea, nilianza kupaka na kuona nyeti zikiongezeka, nilipata furaha ya kuinusuru ndoa yangu.

“Kwa bahati mbaya nilikosea masharti, ilikuwa nipake kwa muda wa siku mbili tu, mimi nilitumia wiki nzima ambapo matokeo yake ni kama unavyoona sasa (huku akionesha nyeti zake) ni mzigo mkubwa, hata suruali sivai na tendo la ndoa sifanyi.
“Kazi nilishaacha tangu Septemba mosi, mwaka jana,” alinukuliwa.

Kwa upande wake, mke wa Honza, Nancy Kilungi, ambaye alimtelekeza mumewe baada ya nyeti hizo kuvimba alinukuliwa akisema: “Ndugu yangu ndoa ni unyumba …nitaishije? Hakuniambia tatizo lake tangu awali na alishakimbiwa na wake watatu, mimi ni wa nne.

“Alikuwa na ‘mashine’ ndogo kama kidole kidogo cha mkononi, tulishahangaika sana hadi kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio,” alisema.

Ilielezwa kwamba, Mkwema ambaye kwa sasa amehamia visiwani Zanzibar, alikiri kumshauri Honza kutumia dawa hiyo ambayo alidai yeye ilimsaidia na sasa ndoa yake ina amani: “Hee ndoa yangu ilikuwa inawaka moto. Mke wangu alikuwa anataka talaka, nilikosa usingizi, lakini Mungu si Athuman… jamaa fulani alinishauri kutumia ‘hypson’ na sasa mambo si mabaya.”

Kwa upande wa familia ya Honza walisema jambo hilo ni la kusikitisha kwani amepoteza uwezo wa kufanya kazi na amekuwa mtu wa kukaa nyumbani tu.

“Yale yale ya akina Michael Jackson. Mungu anakuumba hivi, wewe unataka hivi na vile… tunafanya utaratibu wa kupata matibabu,” alisema mmoja wa wanafamilia hao.

Risasi lilipopiga simu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, mmoja wa watu aliyejitambulisha kwa jina la John Rumisha alitoa onyo kali kwa wale wanaopendelea kutumia dawa za kubadili maumbile kwani madhara yake ni makubwa zaidi ukilinganisha na gharama za dawa hizo.

Alisema kuwa, kumekuwa na ongezeko la watanzania wanaotumia dawa za Kichina kuongeza viungo mbalimbali vya mwili, lakini madhara yake ni makubwa kuliko mtu angeamua kuishi kama alivyoumbwa.

Wiki kadhaa zilizokatika, gazeti ndugu na hili, Ijumaa liliripoti habari ya mwanamke aliyekuwa akilalamika kuteswa na makalio ya Kichina ambaye alilenga kukuza ‘hips’ zake, lakini baadaye alijikuta akiharibika vibaya mwili wake.

Katika siku tulizonazo kumeibuka dawa ambazo zinaelezwa kuwa ni za Kichina ambazo baadhi ya watu waliopata kuzitumia wamekuwa wakikiri kupata madhara makubwa kama vile ‘kalio’ moja kuwa kubwa kuliko jingine, kujazia zaidi chini kuliko juu na mwili kufa ganzi.

My Take: Kijana usimkosoe Muumba wako, atakuadhibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom