Bundi wazua tafrani mkutano wa CCM Kahama! Watua meza ya Lembeli, Mgeja... Wagoma kutoka ukumbini!

Sasa,..wameama kung'oa meno,na kucha....sasa ni mabundii.." tusubili nin kitafata,make hawaishiwi hawa..
 
katika wanyama/ndege hakuna nuksi kama bundi,

walie ndege wote sio bundi (source mwana jf nimemsahau id yake )
 
Bundi sio kwenye uchaguzi tu, hata kwenye US $1/- yupo kwa mbaaaaali....cheki hapa!

tumblr_l5qmkrEFWU1qzvn9ro1_500.jpg




Kibanga Msese
 
Hichi chama kina vituko kila aina
1. Utekaji
2.fumanizi
3.kuonga vitumbua
4.Bundi kwenye mikutano
5.mafisadi
 
uchawi ndio Miungu yao ccm na kumbuka mwaka mmoja sungura alitia time kwenye uchanguzi mmoja kitu ambacho kilisahangaza wengi na matokeo yake ilinyesha mvua ya kufa mtu kwa wapinzani tu eneo moja lakini mvua inanyesha sehemu ya upizani tu
 
Ndio maana WACHAWI WANAUAWA SANA SHINYANGA.... kumbe kweli.... maendeleo hayapo kabisa huko...
 
Back
Top Bottom