BUNDA: Kambarage Wassira apeta CCM-NEC... Ni Mtoto wa Stephen Wassira

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797

Bunda

Bw. Kambarage Wassira ambaye ni mtoto wa Mbunge wa Jimbo la Bunda Bw. Stephen Wassira, ameibuka mshindi katika nafasi ya ujumbe wa Mkutano Mkuu Taifa.

Nafasi ya Mwenyekiti wa CCM wilayani humo ilichukuliwa na Bw. Chacha Kimanwa baada ya kumbwaga Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw. Erasto Majura na Bw. Mramba Simba.

Msimamizi wa uchaguzi huo Bw. Maximilian Ngesi ambaye ni katibu Mwenezi CCM mkoani Mara, alimtangaza Bw. Bonfas Mwita kuwa mshindi wa ujumbe wa NEC.

Bw. Mwita aliwashinda Bw. Cyprian Msiba ambaye ni Mtangazaji wa Kituo cha Channel Ten na Bw. Daudi Iramba.
 
Stephen Wassira ana Watoto Wangapi ?

Hii CCM sio ile ya J.K. Nyerere ? Babu, Baba, Watoto na Wajukuu wote wana vyeo NDANI ya hiki CHAMA ?

Burgoise Ruling Class is forming slowly

 
cyprian msiba naona amevuna jeuri yake. Ana dharau sana huyu jamaa!! kujipendekeza kwingi heshima nyuma.
 
cyprian msiba naona amevuna jeuri yake. Ana dharau sana huyu jamaa!! kujipendekeza kwingi heshima nyuma.

Huyu hapa

ssm11185.jpg
 
hiyo sasa ndiyk heshima aliyokuwa anataka wassira,, maana lilian na ester wakikuwa ni kashfa!! wazee wengine kaazi kwelikweli.
 
Mtoto wa ndoa au nyumba ndogo, yule mzee hakawii kusema, kwanza mtoto mwenyewe wa nyumba ndogo
 
Mtoto wa ndoa au nyumba ndogo, yule mzee hakawii kusema, kwanza mtoto mwenyewe wa nyumba ndogo
Huyu hawezi kumkana hata kama hana sura ya "Gombe" kama yeye, maana hajakimbia kutoka 'umagambani'
 
TZ nepotism is prevalent na inazidi kukomaa kila mahali ..., kwenye vyama vya siasa, maofisi ya umma, makanisani, misikitini, you name it! ni kurithishana mbele kwa mble
 
Naona WALIISEMA CHADEMA kumbe ni yao hao CCM kuweka MKE, Mtoto, Kaka Mdogo, Mjukuu... Hapo ni Kikwete

Kagasheki familia ya watu 7

Wassira naye hapitwi... na wengi wengine...


Ruling Class.jpg
 
Back
Top Bottom