Bukoba ya leo (2)

Mkuu unaongea usichomaanisha ww hauna nia ya kuongea juu ya Bukoba bali unapenda kuongea juu ya watu sana na mambo mengine yasiyokuwa na mantiki...sasa hapa nani ameongelea watu ama na ww uko kama viongozi wenu wanaoshinda wanahubiri unyambo,uyoza,ukiziba,uangaza n.k?unalenga nn hapa?

Mkuu unaweza kuiongelea Bukoba bila kuongelea jamii inayoishi hapo hasa wazawa?Mambo ya ekyawe kijunda nokara yalishapitwa na wakati.Penye ukweli lazima niseme.
 
Kuna haja ya mitandao ya simu kuongeza bidii kupeleka mawasiliano kule na zaidi tgo ambayo bado haiko reliable hasahasa kuelekea interior

Nawashauri viongozi wa CDM waende kule wakawape watu courage na spirit ili waondokane na woga wa kufanya maamuzi,wanaonekana wengi wako tayari lakini wana hofu ya nikionekana mpinzani itakuwaje?je ccm si watanikamata?CDM nendeni Bukoba angali mapema msingoje pakuche
 
Ni wabaguzi kwenye nini wanapoongea lugha yao au ni wabaguzi wa ngozi

example.Nilienda muleba kipindi flani nikawa naongea kiswahili to everyone mara nikaambie tutolee viswahili swahili vyako then wakawa wananiona wakuja sana.Nilichojifunza nimpaka nibehave kama wao in everything ndo waniaccept
 
Navyoelewa mie ubaguzi unatokana na ubinafsi wa mtu,mtu anapokuwa mbinafsi ndo anadevelop hata tabia za kibaguzi

Sasa kiasilia binadamu yeyote anazaliwa na element za ubinafsi ama umimi na kwa maana hyo binadamu wote ni wabnafsi na wabaguzi,kwa mantiki hii naona ni kosa la kiuelewa kumsema flani ni mbaguzi angali hata ww hapo ulipo una sifa hzohzo kiasilia
 
Wahaya tubadilike,tulekele olwango,'yabilima tabilye'!
Let us be sincere wivu wa wachaga ni wivu wa maendeleo,jirani kajenga ya vyumba vitatu mimi najenga ya vinne,on the contrary wahaya hatutakiani mema too much kubomoana.There is a time katika historia ya nchi hii tushakuwa na makatibu wakuu wa wizara tisa at one time (the mulokozi's,the tibakweitira,the rwegarulira,the kazauras etc) ilitusaidia nini? Angalia Msuya alivyoijenga mwanga,angalia mramba alivyoijenga rombo etc, sisi wahaya full majungu,olwango,tubadilike! kha!
Mungu aziweke pahala pema peponi roho za Cardinal Rugambwa na Askofu Kibira,angalau walijaribu.
 
Bukoba tatizo lao ni ubaguzi,ni wabaguzi sana hawa jamaa,hata wao wenyewe wanabaguana licha ya kuwa asilimia kubwa hawana kitu zaidi ya misifa.Hawataki na wala hawapendi kuona watu wa mikoa mingine wakiwa Bukoba.Miji yote duniani imeendelezwa na wageni sasa kama hawa jamaa wanakataa wageni wataendeleaje aisee?Halafu kilugha kila mahali hadi kanisani na maofisini ni kihaya tu!
Kuna watu wanajiita Wanyambo,hao zamani walikuwa wanachukia wasipoitwa Wahaya,leo hii wamepata pata vi hela vya magendo ya Kahawa na kusomesha watoto,Walahi hawa wamechukua nafasi waliyokuwa nayo Waziba hapo zamani,kwa tambo wanaongoza na wanajoina wao ni super human,hawataki kuitwa Wahaya na wakilulizwa kama wanatoka mkoa wa Kagera wanasema hapana wao wanatoka Karagwe,sasa sijui Kragwe ni mkoa?wengine wanapenda angalau wafananishwe na Waganda kwani wanadhani asili yao ni Uganda
 
Wahaya tubadilike,tulekele olwango,'yabilima tabilye'!
Let us be sincere wivu wa wachaga ni wivu wa maendeleo,jirani kajenga ya vyumba vitatu mimi najenga ya vinne,on the contrary wahaya hatutakiani mema too much kubomoana.There is a time katika historia ya nchi hii tushakuwa na makatibu wakuu wa wizara tisa at one time (the mulokozi's,the tibakweitira,the rwegarulira,the kazauras etc) ilitusaidia nini? Angalia Msuya alivyoijenga mwanga,angalia mramba alivyoijenga rombo etc, sisi wahaya full majungu,olwango,tubadilike! kha!
Mungu aziweke pahala pema peponi roho za Cardinal Rugambwa na Askofu Kibira,angalau walijaribu.

Mkuu umeigusia ishu flani kdogo niliyokuwa nmeigusia kwamba pamoja na viongozi wetu tunatakiwa kujilaumu kwa kukubali mgawanyiko wa mara iyangilo,mara bugabo mara kiziba n.k,badala ya kufanya maendeleo chanya na viongozi wetu wapo kila mmoja anafanya vya kwake na si vya watu ila kidogo nimeona umeme kwenye lile jimbo jpya na inasemekana ni kazi ya Karamagi na bila kusahau ile barabara Magufuri aliyoipeleka jimboni kwake kimizengwe

Tuachane na hiz siasa za kinazi na viongozi wetu hawa wanatakiwa kupigwa chini nahisi itasaidia kidogo,tuweke watu wenye vision pana na walio ambitious katika kuona mkoa unarudi kama zamani (the leading)
 
@Alexis na Bishanga mwakola muno mara munonga,kuba nyin'obushobora twakubandiz'omukiko ogw'abantu....kilaba kilo'ekindi. Omubigufi mna uthubutu,kufikia hatua ya kuangalia mambo kwa kina na bila upendeleo ni ukomavu. Nawapongeza sana!
 
Hii mkuu imekaa sawa kabisa,CDM ingefanya haraka kujitanua hasa maeneo ya vijijini ambako huko bado adui mkubwa WOGA ameshamiri zaidi na zaidi.
 
example.Nilienda muleba kipindi flani nikawa naongea kiswahili to everyone mara nikaambie tutolee viswahili swahili vyako then wakawa wananiona wakuja sana.Nilichojifunza nimpaka nibehave kama wao in everything ndo waniaccept
Wakuja wanaitwa "Wanyamahanga"!
 
Balumuna bange......aka niko kanya ko-kukika amoi tukaleba ekyokukola, Bukoba eya amakilo aga eshobile: Bukoba katutagimukile yashoba!!!!!
 
Mkuu unasema ukweli kabisa,mimi ninadhani sisi vijana inabidi tuwe mstari wa mbele katika kuleta mabadiriko.Angali viwanda kama Bukop na Tanica vimebaki chuma chakavu wakati huo ulikuwa mtaji mkubwa wa kuleta maendeleo na kutoa ajira.
 
Back
Top Bottom