Elections 2010 Bukoba vijijini

Hivi haya matokeo ni ya kweli ama mnanizuga,kwani mpaka sasa nip chakari nimeanza sherehekea ushindi
mapinduzi daimaaaaaaaaa
 
Hivi haya matokeo ni ya kweli ama mnanizuga,kwani mpaka sasa nip chakari nimeanza sherehekea ushindi
mapinduzi daimaaaaaaaaa

Haya ndio yalisababisha Zanzibar... siku zote waseme kura zinachakachuliwa... Unajua majimbo yenye upinzani ndio yanatoa matokeo mapema... watu wanasherekea sasa... subiri matokeo yote yatoke.... consider you are a looser my friend... tuombe Mungu baada ya siku tatu nishitue.
 
Haya ndio yalisababisha Zanzibar... siku zote waseme kura zinachakachuliwa... Unajua kwenye mpinzani majimbo yenye upinzani ndio yanatoa matokeo mapema... watu wanasherekea sasa... subiri matokeo yote yatoke.... consider you are a looser my friend... tuombe Mungu baada ya siku tatu nishitue.


Yatoke wapi...Lindi mmelala! Tunajua balaa ni Moro, Dodoma, Singida na Tabora, na mtwara

Chadema
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Kagera
Tarime
 
Yatoke wapi...Lindi mmelala! Tunajua balaa ni Moro, Dodoma, Singida na Tabora, na mtwara

Chadema
Kilimanjaro
Arusha
Manyara
Kagera
Tarime

DREAMER, naongeza MWANZA NA SHINYANGA kwa raha zetu na TUKIKOMBA MIKOA MINGINE VILEVILE!
 
Chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Back
Top Bottom