Bukoa kwa zinduka kimtandao.

Nam...

Member
Nov 11, 2011
51
16
Kwa kipindi kirefu tangu Tanzania kuwa na mitandao ya mawasiliano Bukoba ilionekana tofauti sana kwa kutokushiriki katika Internet, lakini kwa sasa kuna mwamko kwani kiasi cha watu wanaochat katika facebook, twiter na badoo ni kwa kiasi kikubwa. Nzuri zaidi kwa nshomile hao, saizi kuna blog spots mbalimbali zenye kuwa na taarifa mpya kama (bukoba wadau, nicolausmac.blogspot.com na www.audax-kagera.com) jamani na wenzangu mmeiona hiyo? sina uhakika sana kama kuna nyingine kama zipo tujuze ili tupashuhudie ni nyumbani huko.
 
Binafsi nimependa sana kuona kumbe hata haya mambo nyumbani yamefika na yanatoa huduma kwa watanzania wenzetu ikiwemo na wale walioko nje ya mkoa na hata nje ya nchi

Nakumbuka ni juzi niliweka uzi hapa jamvini uliokuwa ukilenga kupata kujua ni nini kinaendelea hapo nyumbani katika tathinia ya habari ikiwa ni pamoja na waandishi wetu wa habari ila kwa hii move naona njia na naamini tutafika

Wenzetu wameanza na ni nzuri wapenda maendeleo kwa pamoja tukaungana ili kuendeleza harakati hizi za ukombozi
 
Back
Top Bottom