Bujibuji seriously natangaza NDOA

Hongera sana kaka kwa umamuzi wako wa busara. Tupe info za kueleweka, kama hutaki michango umesema zawadi. je hizo zawadi zitaletwa wapi? Tupe zaidi tukuunge mkono kuonyesha kwamba tumefurahishwa na uamuzi wako. Pia nakushauri ujiunge na SACCOSS ili upunguze vimeo vinavyokuzengea.

All the best brother!
 
na alishawahi kulalama hapa kuwa mke wake amempiga ban kuingia jf!
bujibuji,kwani unamuoa mkeo?manake kama ulikuwa unakopa ni ustaarabu na haki kuhalalisha!

Anarudi kundini na kubariki ndoa!!!! hahaha....
 
jamani uncle buji ni kweli anaoa,yy kama binadam wengine ni mkosefu lkn sasa kaamua kurudi nyumbani kwa bwana na kuwa na ubavu wake mwenyewe so wooote wenye nia njema na yy michango napokea mm na tutawaa update kwa kila litakalijiri karibuni sana
 
Nliposikia kwanza buji anaoa nlishtuka kidogo, lakini sikuona haja ya kuendelea na mishtuko. Kila lakheri kijana
 
Hata juzi kati mdogo wake babarichone kaoa, naona huu ni mwaka wa watu wazima kufunga ndoa za mitara. Kila la kheri ex-ndugayembe.
 
sasa haruisi si ilishapita nani tena karudisha uzi huu hapa cc?
au ndo mikwalay ya Asprini nini tena?

Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom