Bujibuji kufunga ndoa kesho 22/10/2011

Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
Kadi umepata leo saa tisa,harusi kesho!!!!
Utakuwa na muda wakununua viwalo?
 
Hongera kaka, wala usitishike, maisha ya ndoa ni burdani kama wote mmejipanga kupambana na changamoto za ndoa....................
 
Breeking news picha za harusi ya bujibuji
Wamependeza sana.

247101_104202246338309_100002456026955_39667_1063116_n.jpg
 
Jamani ni kweli kabisa Bujibuji anaoa kesho, namtakia maisha mema yeye na mkewe.
 
sasa hivi anashangilia ushindi wa azam kwa hiyo anaona hatari kuingia jamvini..
 
heeeeeeeeeeeeeeeee..... hongera bwana mkubwa lakini tusubiri kesi ya sipati cha asubuhi hua hamchelewi nyie
 
hahahaaa bujibuji kapata jiko! Sasa chakula kitapikwa kisawasawa! Hureeeee tusiokua na majiko tulie ohio
 
Back
Top Bottom