Bujibuji anataka kuwa mtabiri

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,323
Naam waungwana.
Kabla sijaweka rasmi dhamira yangu ya kuwa mtabiri ningependa kujua ujira walipwao watabiri na magazeti mbalimbali yanayotolewa hapa nchini.
Najua ukiongea jambo la watu walio zaliwa mwezi wa sita, ni lazima kuna baadhi ya watu litawagusa.
Hivyo ndivyo ambavyo tumekuwa tukiliwa na watabiri wetu, na sasa ni zamu yangu KUTABIRI NA KUDADAVUA NYOTA
 
Wasiliana na Rweyemamu yule mkurugenzi wa habari wa ikulu. Nimesikia ikulu inahitaji mnajimu wa kumrithi Sheikh Yahaya maana anakaribia kustaafu. Utabiri wa nyota wa magazetini haulipi sana bwana kama wa ikulu.
 
Anza kwanza hapa jF..tutakulipa na Senksi nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom