Hivi kwann wabuge wa ccm wanakuwa wakali kwenye hela tu? kwann mambo mengine hata km hayana msingi ni ndiyo na kuwazomea wapinzani ? hawajapewa gawio lao nn?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.