Budget ya wizara ya mambo ya ndani

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
Halo wa wanajamii, mlio na access ya kujua kinachoendelea mjengoni mtujuze sisi tunaomtumikia kaisali, naulizia kuhusu maendeleo ya bajeti ya Nahodha vuai maana kwa mtazamo wangu naona wizara hii inachangamoto nyingi sana ikiwema Askari wetu kutumia vibaya nafasi zao kufika mahala mpaka wanaua.
 
Im told Lissu and Msigwa has been sent out. ni kweli jamani, km ni kweli basi mwaka huu kazi ipo
 
Kweli mengi yameongelewa kuhusu Joseph Mbilinyi a.k.a Mr. Sugu kwamba hawezi kuongea la maana. Sasa hivi anajenga hoja za nguvu sana Bungeni kuhusu matatizo ya jeshi la polisi
 
Sugu namkubali. Anajua kujenga hoja. Tungoje majumuisho ya waziri
 
Back
Top Bottom