Budget Wizara ya Utumishi: Mishahara kupanda kwa 15-20%

Nzenzu

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
858
164
Leo ndio leo, Wafanyakazi/Watumishi wa Serikali macho yote Bungeni leo kujua ni nini haswa kinaendelea! Bajeti ya Wizara ya Utumishi 2012/2013 kusomwa leo!
 
Kiwango rasmi kujulikana baada ya muda mfupi!
 
"Serikali imeeleza utayari wake wa kuongeza mshahara kwa kati ya asilimia 15 mpaka 20 kama ambavyo itafanya kwa watumishi wote wa umma katika mwaka huu wa fedha." J.K
 
Ukilinganisha mfumuko wa bei na mambo mengi yanayosababisha kupanda kwa gharama za maisha, ukichunguza kiuchumi utagundua 15 - 20% haita saidia kabisa. Mbaya zaidi, wafanya biashara nao wanafatilia kwa makini kujua kama kunaongezeko la mshahara ili nao wapandishe bei kama kawaida yao. Na hivi hatuna chombo cha kudhibiti bei katika hili soko letu huria (holela) basi sisi walaji (consumers) ndiyo wa kuumia kilasiku.
 
"Serikali imeeleza utayari wake wa kuongeza mshahara kwa kati ya asilimia 15 mpaka 20 kama ambavyo itafanya kwa watumishi wote wa umma katika mwaka huu wa fedha." J.K

Je itakuwa katika category?
 
Mbona sijasikia hiyo habari ya nyongeza ya mshahara na hotuba ishaisha?
 
vasco da gama jana aliropoka mishahara kuongezwa kwa15-20%,najua zilikuwa sanaa tu hizo toka kwa mzee wa ahadi 90 wakati wa kampeni za 2010
 
Nothing new, bajet imemalizwa kusomwa. Hakuna nyongeza ya mshahara duu, hii kali au itaongezwa kimya kimya
 
Back
Top Bottom