Budget Kesho ni Ukombozi? au ni Sauti za NDIoooooo!

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Yale mambo yetu ya ndiooooooo rasmi yanaanza kesho. Je tutegemee unafuu baada ya miaka 50 ya uhuru? Au wataedit zilezile za zamani kubadilisha namba tu? Au kasi mpya ndo inaanza kupunguza ugumu wa maisha?
 
Je sisi watanzania unafuu tutapata lini wakati mungu katujalia utajiri wa kila kitu. Je tumenyimwa akili hatuna hadi tuazime za kizungu?
 
Back
Top Bottom