Bubu Mahamani

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Nakumbuka nilipokuwa Wete kikazi... Kuna siku nilihudhuria kikao cha mahama... Na siku hiyo kulikuwa na kesi ya wizi na mshatakiwa alikuwa bubu...

Hakimu akamuliza bubu jina lake. Bubu akajishika koo na akajigusa mahala pake pa siri. Hakimu akakasirika sana akasema huyu kijana hana adabu kabisa.

Mzee wa baraza, alimwelewa bubu, akamwambia hakimu huyu bwana hujamelewa... Hakimu akasema siajamuelewa vipi!? Wakili akamwambia hakimu huyu bubu anakujibu kuwa jina lake ni Koomboo!
 
heheheheheehe, X-PASTER naona unautani na watu wa visiwani...kule umetoka kutumwagia sera za mpemba hapa tena mambo ya bwan' Koomboo

Nimecheka sana..
 
aaahaaaaaaaaa kwa hapa nimahali pakupata tiba kupitia kucheka du si mchezo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom