BRUNETTES vs BLONDES

J Rated

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
269
51
Nani wakali kati ya wasichana ambao ni brunettes na blondes....nimejaribu kuweka picha chache za celebrities ambao ni blondes na brunettes.
Hawa ni blondes
Paris hilton
kendra

Hawa ni brunettes
kim k
minka kelly
megan fox
angelina jolie
 
mi nawapa mia kwa mia brunnettes...in short wapo sexy sanaaaaaaaaaaaaaaaaaa............
 
Hizo Thi RANGI ZA NYWELE!! Tena wanabadili kila kukicha!! mie naangalia matendo yao na mioyo yao ya upendo!! hehhehhee
 
Inawezekana unatafutwa ushauri ili kama dada zetu wanahitaji nywele za bandia waweke za brunette au za blonde! Si huwa dada zetu wanashonea?
 
Yaani sisi wamatumbi leo tunaongelea blondes/brunettes ? hahaha!
Nakuunga mkono kwa hilo, na vimwana vyetu itakuwaje.
East or West I go for Africa.
Kwanza wabantu wana body structure nzuri sana halafu wako sexy, tatu... ah... malizia....
005_by_bonang_matheba.jpg
 
Back
Top Bottom