Brothers share wife to secure family land

This is madness of the first degree, Sharing a Wife!!!
Shame on these people!

Why don't you call sharing a husband madness? It is equally the same. Madness is madness regardless of whether it is a woman or a man who does it.
 
This is madness of the first degree, Sharing a Wife!!!
Shame on these people!

Kaka, Unataka kusema kwamba hujawahi kumdo mke wa mtu? That is also called sharing . The only difference ni kwamba unajificha.
 
Nyumbu said:
"Kaka, Unataka kusema kwamba hujawahi kumdo mke wa mtu? That is also called sharing . The only difference ni kwamba unajificha."

You are mixing between two men sharing a wife and two brothers sharing a wife. While the former is also madness, the latter is noticeably madness of the highest degree that should not be entertained.
 
..kuna makabila hapa Tanzania yana mila za kurithishana wake.

..pia hivi hamshangai kule vijijini kila mwanaume mwenye mke amebarikiwa kuwa na watoto?

..hivi wanaume wote huko vijijini wana uwezo wa kuzaa, wenye tatizo siku zote ni wanawake tu?

..mimi nadhani kuna siri kubwa zinaendelea vijijini ambapo wanaume ambao hawajabarikiwa kuwa na uwezo wa kuzalisha wanasaidia na wenzao/ndugu zao ktk suala hilo. halafu hiyo inabakia kuwa siri ya wahusika.
 
Haha, tena mpango hupangwa na wazee wa Mwanaume shangazi akiwa mshiriki mkuu. ' Shii!! don't quote me, but Wanyak... wanayo hiyo mila
 
Kaka, Unataka kusema kwamba hujawahi kumdo mke wa mtu? That is also called sharing . The only difference ni kwamba unajificha.

Why should I, What do you take me for......?
By the way I take marriage very very serious, I take Marriage vows very serious. I don't go around chasing everything in Skirt., That is not me.

I AM CONTENTED WITH MY WIFE. NO WOMAN HAS EVER COME BETWEEN ME AND HER AND NO ONE WILL AS LONG AS WE LIVE
TOGETHER

If you are married and you are still chasing every Skirt that pass your way, Polo Sana, You need help brother
 
Back
Top Bottom