Questt
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 3,010
- 422
Mimi namuaona kama mmoja wa wajenga Hoja makini sana na mtu mwenye maendeleo yake mwenyewe na Taifa kwa ujumla, koz atleast ameweza kutoa ajira kwa Watanzania Kadhaa katika Kampuni yake. Lakini kwa nini mtu kama huyu mwenye kumiliki chombo cha Habari tena Yanayosomwa na wengi lakini anakua anashindwa kila anapojaribu kwenda Mjengoni???
Alishindwa na Mar. Amina Chifupa (UV CCM) this time kaenda kwao huko Buchosa lakini bado wamemtosa....Sababu inakua ni nini???? Au hii ya kuwaumbua watu yaweza kuwa Sababu??????
Alishindwa na Mar. Amina Chifupa (UV CCM) this time kaenda kwao huko Buchosa lakini bado wamemtosa....Sababu inakua ni nini???? Au hii ya kuwaumbua watu yaweza kuwa Sababu??????