Broken hearted

Inauma sana tena inauma,uyu kaka hana muda mrefu wa kupata UKIMWI,ni anautafuta au anao amekwisha jichokea na maisha sasa anausambaza.
Dah kwa dunia ya sasa hivi mtu uliyeleta hii email copy hizi msg zipeleke huko kwenye iyo site akazisomemhii ni Hatari HATARI SANA
RED ALERT Dah
Na uyu dada ni mvumilivu sana mara tatu kavumilia kisa VItu dah,ndio maana tunaambiwa kila siku wanawake tufanye kazi kwa bidii kuepuka kuwa watumwa wa Mapenzi.na hii sio ndoa ni Ndoano,Dada kimbia na usiangalie nyuma,uyo sio wako,na ndoa huletwa na Mungu kama mwanadamu ukilazimisha haya ya Dunia ndio yanakukuta.

Afu Dear, huyu dada dalili aliziona mwanzo.....wakiwa wachumba akatembea na housi geli...

mimi hapahapo ndo ungekuwa mwisho wetu kabisaaa!!! wakati mwingine tunakuwa wapumbavu 'in the name of love'
 
Naona ndo za sasa zimekuwa za kuunga unga na bandage kila kona zina majeraha
 
Kina dada saa nyingine tuna huruma sana, inabidi tufanye maamuzi magumu hata kama ndugu wameshajiandaa kula harusi. Ulipomfumania mara ya kwanza kabla hajawa mumeo plae ndipo palikuwa pa kumuacha . Kwa sasa pole, mzigo ndio huu nakushauri jitahidi usipate mimba na umuache. Naona huyu kaka hajui maana ya ndoa anacheza tu na maisha. Na wewe kuwa strong kazi yako ni kutoa misamaha tu?
 
Kuna miss lady mmoja kaniambia hiki kibao cha Melanie Fiona kilimpa nguvu kidogo....so this goes out to any girl who's been cheated on....enjoy....

Last edited by a moderator:

I love the song................
 
Last edited by a moderator:
BHT uyu dada dalili aliziona mapemaaa,jamani uyo kaka ni katili asiye na siri.
Na ni umbumbavu kabisa kama Mwanaume au mumeo ukiona ni kimeo vumilia mara moja tutakuelewa akirudia Sepa kha,thats not right kabisa,ni sisi wenyewe tunawaendekeza hawa wanaume wakwetu,sawa kila siku tunaona relation za wenzetu wazungu wanaogopa ku-cheat live kwa kuogopa kuachwa,lakini mtu anaku-cheat live akijua atasamehewa,na wanaume wanajigamba kuwa ahh huyu mwanamke atanisamehe tu atakimbiliwa wapi kwani...
Naandika kwa machungu sana jamani msione hivi,Wanawake wenzangu waTanzania tubadilike kuolewa kwa Mali si dili,utavifurahia mwanzo tu,ukiingia ndani tena utavichukia na kujuta,tutafute vya kwetu Chance ni nyingi na tunazo kwa nini hatuzitumii TUNAWEZA JAMANI kumiliki magari na nyumba zetu ni kutojiamini tu aghhhh
 
dada alikuwa na hamu ya kuolewa sasa mme ndo huyu anampelekesha kama gari bovu !
 
huko ku=depair ndo kunatuingizaga kwenye matatizo kama hivo.....

hamu imemfikisha wapi sasa kam asi kwenye aibu??

mbaya sana kubahatisha haya mambo kwa kweli na siku hizi tukiona umri ndo hivo tena basi twajiokotea chochote mbele yetu......
 
BHT uyu dada dalili aliziona mapemaaa,jamani uyo kaka ni katili asiye na siri.
Na ni umbumbavu kabisa kama Mwanaume au mumeo ukiona ni kimeo vumilia mara moja tutakuelewa akirudia Sepa kha,thats not right kabisa,ni sisi wenyewe tunawaendekeza hawa wanaume wakwetu,sawa kila siku tunaona relation za wenzetu wazungu wanaogopa ku-cheat live kwa kuogopa kuachwa,lakini mtu anaku-cheat live akijua atasamehewa,na wanaume wanajigamba kuwa ahh huyu mwanamke atanisamehe tu atakimbiliwa wapi kwani...
Naandika kwa machungu sana jamani msione hivi,Wanawake wenzangu waTanzania tubadilike kuolewa kwa Mali si dili,utavifurahia mwanzo tu,ukiingia ndani tena utavichukia na kujuta,tutafute vya kwetu Chance ni nyingi na tunazo kwa nini hatuzitumii TUNAWEZA JAMANI kumiliki magari na nyumba zetu ni kutojiamini tu aghhhh

kweli una uchungu, pole mamii!!
 
Dada, let him go. Kukununulia gari la kifahari na all necessities is not a reason to be treated like a door mat. Na pale ambapo ulijua tu anatembea na housegirl it was your warning signs. Wanaume wa design hii hawabadiliki. Maskini akaolewa akidhani ni blessing kumbe its a curse.

Why do such men frustrate mabinti wa watu ni kama hawana dada au mama? Shame on him na dada do not stay get out and let him be yesterday's news.

Let you not be defined by a man, but be a woman of worth. It will be better in time, yes sikiliza wimbo wa Leona Lewis.
 
mbona wote mnamwambia achape lapa tu je kam ni ndoa ya kikristo? atachapaje lapa?

Kwani kwenye ndoa za Kikristo(u) watu hawatalikiani? Ndoa haimaanishi watu wamepigiliwa misumari na wameungana na hawawezi kuachana au kutenganishwa. Katika hali kama ya huyu dada ni bora tu watalikiane wakaanza tena maisha kivyao vyao kuliko kuishi maisha kama hayo yasiyo na furaha kwani sidhani hata kama huyo mume naye ana furaha nyumbani kwake.

Utatuzi wa matatizo kama haya ni kutokuoa au kutokuolewa.
 
....And shame on women and men who perpetrate and put up with this kind of bullshit coz they perpetuate it. Low self esteem na materialism ni vitu kibaya sana.....
 
Kwani kwenye ndoa za Kikristo(u) watu hawatalikiani? Ndoa haimaanishi watu wamepigiliwa misumari na wameungana na hawawezi kuachana au kutenganishwa. Katika hali kama ya huyu dada ni bora tu watalikiane wakaanza tena maisha kivyao vyao kuliko kuishi maisha kama hayo yasiyo na furaha kwani sidhani hata kama huyo mume naye ana furaha nyumbani kwake.

Utatuzi wa matatizo kama haya ni kutokuoa au kutokuolewa.

Lakini shem hakuna anayeolewa au kuoa akiwa namatarajio ya mabaya katika ndoa, na pia kuwa na ndoa iliyonyooka tu!! matatizo hutokea!! sema huu utofauti wa uzito wa matatizo sasa......mtihani

lakini wakati mwingine tunadharau hata alama za kutuonya kutoingia kwenye hizo ndoa na tunaingia tu ili mradi tuonekane na sie tu wanandoa!!

khee shem umesahau '.....for better for worse till death do us apart...'
 
Kwa sababu watu wengi huwaga hawafikirii in the long term ndio maana huwaga hawatarajii mabaya licha ya kuwepo na dalili zinazoashiria kuwa yanaweza yakatokea.

Mwisho wa siku ndoa ni uamuzi wa mtu binafsi. Si unamwona Larry King....keshaoa mara saba (7) na yuko kwenye divorce proceedings na huyu mke namba saba.

Cha muhimu ni kujijua mtu ukoje. Kama huwezi kuhimili au kumudu maisha ya ndoa....usiingie kwenye ndoa. Mimi najijua. Siwezi kabisa maisha ya ndoa na ndio maana sitakuja kupoteza muda na hela za watu kufaya harusi ambayo itakuja kuvunjika baadae. Nikupe mfano mmoja wa kwanini siwezi maisha ya ndoa....sipendi kabisa kulala na mtu mwingine kwenye kitanda kimoja...kwanza sipendi kusikia mtu akikoroma....pili nikilala huwaga napenda ku spread out....sipendi kulala upande mmoja tu usiku mzima....sasa hapo nikiamua kuoa itabidi tulale vitanda tofauti kama si vyumba tofauti kama mwenzangu anakoroma......sasa kama najijua niko hivi kwa nini nioe....?
 
hahaaaaa jamani shem we chiboko lol!!!

lakini kwenye mapenzi/ndoa si kuna sacrifices mtu unafanya jamani, maana huwezi kumpata 'the perfect match' yako ....eti ana vyote utakavyo(wewe ndo unachokosa).....(lakini shem wewe unaishije sasa?? you can respond by whispering)
 
Kwa sababu watu wengi huwaga hawafikirii in the long term ndio maana huwaga hawatarajii mabaya licha ya kuwepo na dalili zinazoashiria kuwa yanaweza yakatokea.

Mwisho wa siku ndoa ni uamuzi wa mtu binafsi. Si unamwona Larry King....keshaoa mara saba (7) na yuko kwenye divorce proceedings na huyu mke namba saba.

Cha muhimu ni kujijua mtu ukoje. Kama huwezi kuhimili au kumudu maisha ya ndoa....usiingie kwenye ndoa. Mimi najijua. Siwezi kabisa maisha ya ndoa na ndio maana sitakuja kupoteza muda na hela za watu kufaya harusi ambayo itakuja kuvunjika baadae. Nikupe mfano mmoja wa kwanini siwezi maisha ya ndoa....sipendi kabisa kulala na mtu mwingine kwenye kitanda kimoja...kwanza sipendi kusikia mtu akikoroma....pili nikilala huwaga napenda ku spread out....sipendi kulala upande mmoja tu usiku mzima....sasa hapo nikiamua kuoa itabidi tulale vitanda tofauti kama si vyumba tofauti kama mwenzangu anakoroma......sasa kama najijua niko hivi kwa nini nioe....?

kila siku unapreach watu wasioane na ushindwe!!!!...usisahau wewe upo leo as a product ya watu wawili pamoja!..ningependa kujua r'ship ya wazazi wako ikoje...you sound km mtoto wa mamdogo vileee....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom