Broken heart

Iteitei Lya Kitee

JF-Expert Member
Jan 2, 2008
586
46
Wadau tusaidiane
what are the do's and dont's ya mtu alie katika broken heart situation?
Ni dillema kwa kweli!!
But najua jamvi litatoa msaada wa kutosha hapa
 
do's

jichanganye na ndugu, washikaji
kuwa bize
jipe moyo, she is not the only fish in the sea

donts
Usianze uhusiano mpya
usiwatafute wapenzi wa zamani
usijitenge
 
Do's
-Fikiria mipango yako ya maisha na jinsi gani uko huru sasa.
-It would not work and neither will work in the long run a relationship
-Think of what you an highly achieve without him or her and plan for it
-Set small short achievable plans and then along a long term plan

Don'ts
THINK OF HIM OR HER
 
...inategemeana na 'situation' yenyewe, Broken hearts zipo za aina nyingi i.e kuachwa, kufumania, kukataliwa uchumba, kukataliwa unyumba nk...fafanue ndugu Iteitei lya kitee...:)
 
...inategemeana na 'situation' yenyewe, Broken hearts zipo za aina nyingi i.e kuachwa, kufumania, kukataliwa uchumba, kukataliwa unyumba nk...fafanue ndugu Iteitei lya kitee...:)

Ni kuachana kwa kushindwa kuelewana tu mkuu,
Mie mitizamo yangu ni tofauti na yake ni tofauti kimaisha.
Yaani tumegungua kua hatutofika kule tuendako hivyo tumeona tutengane tu.
Ni uamuzi mzito ambao una umiza roho hasa ukizingatia mtu mmeanza nae mbali.
 
wadau tusaidiane
what are the do's and dont's ya mtu alie katika broken heart situation?
Ni dillema kwa kweli!!
But najua jamvi litatoa msaada wa kutosha hapa

jipe kila aina ya sifa....
Amini kuwa unayaweza yote bila hata kuwa na mwanamke aliye kupondea moyo wako..
Bitches ain't shit
 
do's

jichanganye na ndugu, washikaji
kuwa bize
jipe moyo, she is not the only fish in the sea

donts
Usianze uhusiano mpya
usiwatafute wapenzi wa zamani
usijitenge

- Usijali sana, hayo ni kama mabasi ya daladala, ukikosa la sasa utapanda linalokuja nyuma;

- Kuwa karibu na familia yako (baba, mama na ndugu zako) kwani hao ndiyo waliwazao kweli;

- Soma novel yako uipendayo sana;

- Fikiria mambo yote mazuri ambayoa yanakufanya unakuwa happy,

- Jaribu kumwaza mtu yeyote ambaye unajua fika kuwa anakupenda na kukujali, yaani rafiki yako, ndugu ambaye allways you are happy to meet/see.

Bottom line "If you are happy, you will remember the person whom you love. If you are sad you will remember the person who loves you" By this principle you will never suffer heart breaks!!!

Ni kuachana kwa kushindwa kuelewana tu mkuu,
Mie mitizamo yangu ni tofauti na yake ni tofauti kimaisha.
Yaani tumegungua kua hatutofika kule tuendako hivyo tumeona tutengane tu.
Ni uamuzi mzito ambao una umiza roho hasa ukizingatia mtu mmeanza nae mbali.

Je mlishindwa kabisa kupunguza tofauti ya mitazamo yenu?
Kama jibu ni ndio basi huna haja ya kuvunjika moyo, fungua ukurasa mpya na songa mbele na maisha. Huna haja ya kuumiza moyo wako kwa jambo ambalo halina tija maishani mwako.

Jaribu kujumuika na ndg au marafiki. Take care hilo iteitei lya kitee lisije likawa la umbe! Just joking....,teh teh.!
 
Ni kuachana kwa kushindwa kuelewana tu mkuu,
Mie mitizamo yangu ni tofauti na yake ni tofauti kimaisha.
Yaani tumegungua kua hatutofika kule tuendako hivyo tumeona tutengane tu.
Ni uamuzi mzito ambao una umiza roho hasa ukizingatia mtu mmeanza nae mbali.

...sasa nimekuelewa.

Mitizamo tofauti kimaisha inatokana na sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na;
  • Imani ya dini
  • malezi na makuzi
  • kiwango cha elimu
  • Kazi/ajira na nafasi yake
  • Uwezo binafsi wa kuchanganua mambo
  • Heshima, busara, huruma, utii na unyenyekevu, nk
  • kupanga, kujiwekea na kutimiza malengo
Katika yote hayo, kuna viwango mnatofautiana. Maamuzi ya kuachana kama yamekubaliana na moyo wako, hutosumbuka. Iwapo maamuzi yenu yanatokana na akili tu, kila mwenza utayekutana naye utaona ana kasoro hizo hizo.

Madhali unasema mmesha achana, ni vyema ukajipa muda kujipanga upya ili 'mtarajiwa' ajaye ajue vigezo vyako vya maisha. Naye awe mkweli na muwazi kukwambia matakwa na matarajio yake, msije kupotezeana muda kama ilivyotokea kwa huyu.

Pole sana na Kila la heri.
 
Back
Top Bottom