Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

mbona ize to understand???sikuja kutafuta marafiki...as watu wa kufatiliana kiundani,niko hapa kupost jambo...sihitaji kumjua mtu yeyote yule,na sipendi pia mtu anijue.....
--obviously we dont get along na huyo kaka,kivipi nitakuwa simtendei haki nikimwambia...asiniquote???wema wa mshumaa sinao mie...ni bora nifanye hivyo kuliko nimwache aandike jambo litalonikwaza...

lastly,dont make a big deal out of this,mwenyewe nadhani kanielewa naamaanisha nini...!

Nahisi kama nakujua kwa walau 85% Roselyne....
 
Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.

Je nimekuja kutambua ishu nyingi za kijamii zinazoletwa hapa JF ni usanii na kutaka kujua mawazo ya watu tu......
 
Mengine huhitajii kushauriwa. Si kila jambo unahitaji kusaidiwa hasa pale inapohitajika kutoa maamuzi binafsi. Ukizoea sana kusaidiwa ndo hayaaaaaaa............ unasaidiwa mpaka mke.

Mwambie afanye maamuzi anayoona ni sahihi
 
hapa leo sichangii live, nitapitia jioni MARANGU Bar mpwazz tutete kwa herufi kubwa., hili sio suala dogo.
ningekua mie hapo huyo bwamdogo ningemfanyia kitu mbaya ahame nchi, u know wat i mean??, hahahaaaaa, sio unakula tu vya watu na chako lazima KILIWE.
 
mshauri kaka yako amfungashie kila kilicho chake na huyo nyumbaboy wake wakaanze maisha tu, mana huyo houseboy ataamia kwa watoto sasa, pole zake
 
hapa leo sichangii live, nitapitia jioni MARANGU Bar mpwazz tutete kwa herufi kubwa., hili sio suala dogo.
ningekua mie hapo huyo bwamdogo ningemfanyia kitu mbaya ahame nchi, u know wat i mean??, hahahaaaaa, sio unakula tu vya watu na chako lazima KILIWE.

hii kitu jina lake lipo juu sasa hivi

wapi Bigirita?
 
Wadau nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa bro. ameniambia house boy kammegea wife wake.

Bro yupo njia panda anashindwa afanyeje!

Anasubiri nini njia panda, si awafungashie huyo wife na houseboy wakaanze maisha mapya.
 
Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.

huyo mmoja mwenyewe wake??manake asije kuwa hata huyo alisaidiwa!!but I am real sad for the whole issue!!ila bro yetu naye apunguze ubize kwenye biashara zake!!
 
Me kwa ushauri wangu.....Bro amsamee wife wake ili anusuru ndoa yake.....sababu kusame ni jambo gumu lakini linamkamilisha mwanadamu na kumtenganisha na mnyama.. hope itakuwa heri kwa wote bro na mkewe....ila kwanza ajue uharisia wa kuomba msamaha wa mkewe.. ni hayo tu....

Just try power of forgiveness......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom