Bro wangu kamegewa wife wake na house boy

Oooh my dearest...I have been doing great....better than most people! I have missed you too my dearest. Time away from your loved ones is torture for real.

I hope you and B are doing wonderful....

yaani kweli ni mateso, but wat matters is we are all here safe n sound dearest!!

Bala is smwea humu humu ndani, he will be here in a minute....we are doing great thow!!
 
nilikuwa na mapwenti kibao nataka kuyamwaga, nilipoona hii avatar yamepotea yote! hehehhe yakirudi nitakomenti!
 
yaani muda unavosogea ndo nazidi kupaa picha huyo 'avatar' anafanya nini hapo

its dirty if I follow wat my eyes are seeing!!!!
 
yaani kweli ni mateso, but wat matters is we are all here safe n sound dearest!!

Bala is smwea humu humu ndani, he will be here in a minute....we are doing great thow!!

Good to hear that you two are going on strong...

I know Bala....he's a man's man who knows how to handle his....you're both lucky to have each other.
 
yaani muda unavosogea ndo nazidi kupaa picha huyo 'avatar' anafanya nini hapo

its dirty if I follow wat my eyes are seeing!!!!

Aaah hizo silicone mimi sizipendi kabisa. Na siku hizi wameanza kuziweka kwenye makalio. Itafika wakati itakuwa nadra sana kukutana na mtu aliye 'au naturale'....maziwa feki, makalio feki, pua feki, mahips feki, hadi nasikia siku hizi kuna mboli feki.....what is this world coming to now?
 
hahaaa shem nimecheka mpaka nalia sasa lol!! no wonder I missed you!! una vituko sana wewe!!

siku hizi bwana kila kitu feki tu......

lemme finish laughn ntarudi duh!!
 
Shem wewe acha tu. Yaani hii dunia sijui inaelekea wapi tu. Ukipata muda google "penile enlargement" uone vituko vilivyopo.
 
shem hatukuepo zamani lakini kasi ya mabadiliko ya dunia kwa umri amabo tumeishi inatia wasi wasi kwa kweli.....

tutakpoishia ndo huko huko wee acha tu

ntachek hiyo kitu ngoja
 
mmh upo B??

huyo sio klorokwini bana angalia vizuri anaitwa sijui vkesy

Nipo mamaa! nimekamatika kiaina!!
unajua watu wanafuga sana ndoa siku hizi......baada ya kwarezma
na wengine wanatubu sana kwa sababu pasaka walijichafua kidogo/
 
hahaha B una mabo wewe
kwa hiyo mwendo kujichafua n akuoga na kujichafua tena
na wewe lini sasa tule ndafu? maana leo nilipata tetesi tu hapa
 
ndo maan mi sitaki........iweje ndafu iliwe siku moja tu!! si afadhali niendelee kula kila siku bana!!
 
Mkuu PJ hii ishu ni kweli imetokea na ni bro wangu kweli anafanya biashara.
Ni mke wake wa ndoa kabisaaa na amesha mzalia mtoto 1 hii mimba ni atakuwa mtoto wa 2. Sasa ni wa huyo house boy.
MHH.. NaHISI NI HADITHI ZA FIDEL HIZI!Kaka yako alijuaje kuwa mimba ni ya houseboy wakati mtoto hajazaliwa?
 
wife kakubali kuwa dogo anamega, na amekiri mimba ni ya dogo.............jamaa kasoma nyakati ameona mtoto wa kwanza anafanana na h/boy!!! hapo sasa!

JAPO....huyo jamaa nae ****, hawa vijana wa kazi huwa hawakai sana na ajira moja, yy kaona jamaa anakaa tu akafikiri hako kamshahara ndo kanamfurahisha, kumbe lol!! na ile baridi ya makambako, jamaa kama alikuwa anasafiri sana, maana yake jamaa alikuwa anafaidi kuliko yy mwenyewe!!
 
mamii mke kakiri mimba ni ya h/boy sasa hapo ndo pana utata sijui kathibitish avipi dogo ndo alimnasisha na si husband!!
 
ndo maan mi sitaki........iweje ndafu iliwe siku moja tu!! si afadhali niendelee kula kila siku bana!!

kwani ukila siku hiyo ndo basi, si utaendelea na siku nyingine

wife kakubali kuwa dogo anamega, na amekiri mimba ni ya dogo.............jamaa kasoma nyakati ameona mtoto wa kwanza anafanana na h/boy!!! hapo sasa!

JAPO....huyo jamaa nae ****, hawa vijana wa kazi huwa hawakai sana na ajira moja, yy kaona jamaa anakaa tu akafikiri hako kamshahara ndo kanamfurahisha, kumbe lol!! na ile baridi ya makambako, jamaa kama alikuwa anasafiri sana, maana yake jamaa alikuwa anafaidi kuliko yy mwenyewe!!

dah kwa hiyo h/boy /girl pia akikaa sana kibaruani u have to think deeply eeeh??!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom