Brits believe mixed-race people are the 'most attractive and successful'

Even in tanzania,mixed race appears to be lucky and succesful.
Wako successful kwa lipi? Wengi (siyo wote) wa machotara ni corrupt people. Wana maadili hasi na wana crisis ya identity. Uaminini usiamini, ukweli ndiyo huo. Watazame vizuri au ongea nao. Wengi wao wana machungu deep down. Kwangu mimi nawaona wengi wao hawajatulia. Ila kitu kimoja: ni warembo wa sura (kwa wadada) na wenye sura zamvuto (kwa kina baba) kwa sabbu ya kuchanganya damu za nasaba tofauti.
 
Ukiangalia vizuri hawa watu wanamafanikio pia.
Angalia wengi wao huwa wanakambiwa na wazazi wa upande mmoja na huwa wanaishi ktk mazingira magumu kwa asilimia kubwa. Pia ni watu ambao mpaka recently duniani kote wanaonekana hawana kwao. Mfano chotala akiwa Tz anaonekana mzungu na akiwa tuseme norway anaonekana mwafrika nadhani u get a point.

Ni watu mpaka kesho kwa Tanzania mfano akijitokeza kugombea urais mtamwita inakuwa je mzungu agombee urais na atuongeze.Hilo la Obama ni specipcial case sana na weda inawezekana ni amerika tu ambapo mixed-race akawa na nafasi kama hiyo.

Ni wenda kweli hiyo crisis waliyonayo inatokana na dhana hiyo ,kutokana na jamii inayowazunguka ni too racist ktk pande zote.

Ukiangalia ktk population yao with respect na population ya dunia utagudua kabisa wenda ni successful pale wanapopewa chansi sawa na wengine.

Mfano: chukulia mpira wa mguu ambapo race zote zinapewa chansi sawa, na angalia population ya wachezaji hao ktk timu kubwa duniani with respect na population yao.
ni hoja tu nawakilisha.
 
Hujaeleweka hata kidogo!
 
Hujaeleweka hata kidogo!

Duu
si unajuwa bwana lugha tatizo, ama uwezo wa kujieleza ndo hafifu ngoja nijaribu tena.
1. Hawa machotala wanabaguliwa kila upande, mfano tuchukulie chotala wa kiitaliano-Tanzania, huyu mtu akiwa italia anaonekana ni mweusi na ni ngumu mno kwake kuwania kiti cha juu ktk siasa na wakati huo huo akiwa Tanzania anaonekana kama mzungu na kuwania kiti cha juu mtu huyu nchi tz ni ngumu mno.

2. Mara nyingi hawa watu huwa mzazi wa upande mmoja anakimbia, hivyo huwa wanaishi na mzazi mmoja .
Hivyo dhana 1 na 2 hapo juu , ndio maana wanaonekana wanaka u-complex fulani fulani ktk mienendo yao.

Tukirudi ktk mafanikio, mimi naona nashawishika kusema kuwa wanamafanikio kwa sababu maeneo ambayo yapo huru kwa wote inaonekana wana dominate kulingana na wingi wao.
Chukulia mpira wa mguu angalia timu kubwa na tafuta asilimia yao na asilimia za race zingine.

Watu wameongelea waburushi, lakini pia ukienda huko huko ktk kijiji hichohicho na ukiangalia standard ya maisha ya waburushi hao ktk kijiji hicho wenda uwezekano mkubwa wana mafanikio kuliko watu wa hapo wasio mixed.

Nafikiri unapofanya research lazima iwe ktk mazingira sawa sawa, kwa hiyo hiyo research nafikiri ni sahihi maana imechukuliwa ktk mazingira sawa. Na sio
kuchukuwa waarabu wa Nzega na kulinganisha na akina mengi wa dar, hapana nafikiri ukitolea mfano wa machotala wa kiarabu wa Nzega tafuta std asilimia yao ya maisha na pia utafute std ya maisha ya weusi wa Nzega.

Kama ukichukulia akina MEngi wa Dar lazima pia upigie std hiyo hiyo ya akina bakhresa wa dar, ama asilimia ya machotala wa Dar na wasio machotala wote wa Dar.
Sijui nimeeleweka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom