British medical journal wameandika hivi

Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.
ratio ilikuwa 1:25000.
Leo umejikaanga kwa mafuta yako! kwi kwi kwi!
Pengo limeongezeka wakati wa jk.na linaelekea kuwa baya zaidi baada ya jk kushindwa kutatua mgogoro huu pamoja na kutumia vyombo vyote vya dola!
 
Na masikio mkuu, juzi nilikutana na jamaa mmoja kasema nchini kwao wanahitaji sana madaktari watafanya internship na kuwa absorbed kwenye serikali yao ni huku huku East Africa kwetu

boss tunaomba information za kutosha hapa coz serikali imetufutia na usajili kabisa haitaki tufanye kazi, naomba hata pm hiyo nchi ili nifanye mpango wa kwenda huko nikiona mazingira mazuri niwashtue washikaji zangu.
 
ratio ilikuwa 1:25000.
Leo umejikaanga kwa mafuta yako! kwi kwi kwi!
Pengo limeongezeka wakati wa jk.na linaelekea kuwa baya zaidi baada ya jk kushindwa kutatua mgogoro huu pamoja na kutumia vyombo vyote vya dola!

Tupe "life span" ya Mtanzania 2005 na ya 2011.

Na ueleze kama imepunguwa ni kwanini na kama imezidi ni kwanini.
 
Junior doctors in state hospitals have been involved in a series of strikes since last January. The government has dismissed doctors’ demands that their salaries be tripled—from 950000 Tanzanian shillings (£390; €490; $620) a month to 3.5 million shillings—and has offered a maximum of 1.2 million shillings, noting that doctors already earn double the average salary of other public sector workers.
katika hii kauli pia nimekuwa na wasiwasi na serikali maana mianya ya hawa wenzetu kupata 'kitu kidogo' ni finyu japo kazi zao ni more practical ukilinganisha na kada nyingine.
Lakini pia tukumbuke kuwa mwaka 2005 USD $1 = Tsh.650/- na kilo moja ya mchele ilikuwa Tsh. 400/- bila kutaja vitu vingine.

Waliobuni hizi siasa wameweka mipaka zisiingie mpaka baadhi ya maeneo mojawapo likiwa hili la madaktari, lakini sisi tulioiga tumejisahau na matokeo yake tutakufa wengi kwa kosa hilo

katika hii kauli pia nimekuwa na wasiwasi na serikali maana mianya ya hawa wenzetu kupata 'kitu kidogo' ni finyu japo kazi zao ni more practical ukilinganisha na kada nyingine. Lakini pia tukumbuke kuwa mwaka 2005 USD $1 = Tsh.650/- na kilo moja ya mchele ilikuwa Tsh. 400/- bila kutaja vitu vingine. Waliobuni hizi siasa wameweka mipaka zisiingie mpaka baadhi ya maeneo mojawapo likiwa hili la madaktari, lakini sisi tulioiga tumejisahau na matokeo yake tutakufa wengi kwa kosa hilo
Kwamba kazi zao ni more prectical kuliko kazi nyingine hapo ndipo sikubaliani nanyi.....kama tayari mshahara wao ni mara 2 ya kada nyingine nyingi tu.
 
unadhani huo muda aliojitolea kusomea udaktari sio uzalendo?
Hivi daktari akienda dukani anapewa sikari bure?kuna madaktari wamejisomesha IMTU kwa malipo ya USD....nao pia waliitia serikali hasara ?
Walipeni hiyo milioni tatu walipe deni la masomo.
Isitoshe madaktari wana wazazi,mababu,mabibi,wajomba na mashangazi ambao wamelipa kodi za kuwasomesha.

Kama walijisomesha IMTU wao wenyewe binafsi, kwani lazima waajiriwe serikalini? Tunaotibiwa private hospitals waje huku tunawasubiri watutibu tuwalipe! Au la waende huko Burundi, mbona rahisi tu!
 
katika hii kauli pia nimekuwa na wasiwasi na serikali maana mianya ya hawa wenzetu kupata 'kitu kidogo' ni finyu japo kazi zao ni more practical ukilinganisha na kada nyingine.
Lakini pia tukumbuke kuwa mwaka 2005 USD $1 = Tsh.650/- na kilo moja ya mchele ilikuwa Tsh. 400/- bila kutaja vitu vingine.

Waliobuni hizi siasa wameweka mipaka zisiingie mpaka baadhi ya maeneo mojawapo likiwa hili la madaktari, lakini sisi tulioiga tumejisahau na matokeo yake tutakufa wengi kwa kosa hilo

Omujubi, suala hapa ni maslahi duni kwa watumishi wa serikali kwa ujumla. Tafsiri ya sasa ni kuwa Drs wanalipwa chini ukilinganisha na wengine. Upandaji wa maisha ni kwa watu wote, si Drs tu. Serikali tatizo haitaki kukubali hili na kubadilisha mishahara ya kada zote kwa sababu ya matumizi makubwa ya kipuuzi, kama haya ya Tume ya Katiba! Shame!
 
Aliyekuwa nje ya field ya Udaktari itakuwa ni ngumu kuelewa maana ya haya yafuatayo unless ana akili timamu;

1)Kupata MD degree ni 5-6 years of hard and difficulty constant classes from 9:00-15:00hrs monday to saturday.

2)One year of Internship just to eran your registration even after graduating and passing for your final exams.

3)Risk of being exposed to many infectious and non-infectious diseases during physical contact with patients when taking case histories(..only because there are no gloves or nasal masks...).

4)Many stressful working hours everyday while You have no confidence even to assure your patients that things gona be alright because there are no drugs which were supposed to be there for them!

5)Kodi kubwa inayokatwa kwenye mshahara per month.

6)HAKUNA DAKTARI ANAYESOMESHWA BURE NA SERIKALI TANZANIA,SABU WOTE TUNARUDISHA MIKOPO BODI KAMA WAKOPESHWAJI WENGINE.

7)HAKUNA DAKTARI AMBAYE ''ALIDONDOKA'' TOKA ANGANI,i.WOTE NI WAZAWA WA TANZANIA KWA WAZAZI/WALEZI AMBAO NI WALIPA KODI KAMA WENGINE!!

Mimi naamini kila sehemu katika dunia yetu mishahara kwa wafanyakazi hailingani na haitakuja kuwa sawa kamwe,watu wataendelea kulipwa kulingana na ''SPECIALITY/EDUCATION LEVEL/QUALITY/NEED/DEMAND, etc'',na moja ya speciality zinazodisev kulipwa fedha za kutosha kutokana na kazi zao zilivo za MUHIMU na pia HATARI ni MADAKTARI, hata ukibisha wee bisha ila ukweli unaujua moyoni, kwakuwa hutaki kuona DAKTARI yuko juu yako kimaisha (...ili uendeleze usemi wa ''WAMESOMA SANA ILA MAWE HAWANA''..) najua utaendelea kulaani na kusema sisi si wazalendo!
 
Waseme na hizo ratio zilikuwa ngapi kabla ya Kikwete na baada ya miaka ya uwepo wake. Nakuhakikishia hawawezi.

toka kuwepo kwa nchi ya Tanzania hadi leo ni madaktari 1500tu ndio wanaofanya kazi ktk hospitali za serikali..haijalishi ilikuwa ni katika hatamu ya nani!
hawa wanahudumia zaidi ya wananchi milioni 40!!Takwimu za W/afya.

lakini kwa uchache huo 300 zaidi "wamefukuzwa".. mamia wakiwa wamehama nchi na wengine wakiwa wamehamia sekta binafsi!
 
kwa mchanganuo wa matumizi ya hapo juu ya kumtengeneza doc mmoja na kisha kumlipa mara 2 zaid ya watumishi wengine kinachoonekana kwa madoc wetu ni ukosefu mkubwa wa uzalendo au kutokujua wanachofanya,nawaonea huruma sana
Jionee huruma ww uliyesoma ualimu wa msingi na upolisi..ambaaye ukifukuzwa kazi huna pa kwenda.
 
Mie madaktari siwafagilii

Mkuu nenda JF chit chat! No offence! ...we discuss issues here, this is not a polling station for doctor supporters and those who dont!
You were not asked to support them or not!

If everyone would just comment out of emotions we'd loose the meaning of Great thinkers... my take to you is that take a step back, get to know doctors' claims, what has been done so far, then contribute.
 
Tupe "life span" ya Mtanzania 2005 na ya 2011.

Na ueleze kama imepunguwa ni kwanini na kama imezidi ni kwanini.
What do you mean by life span?me nafahamu life expectancy,fanya review ya notes zako upya
 
toka kuwepo kwa nchi ya Tanzania hadi leo ni madaktari 1500tu ndio wanaofanya kazi ktk hospitali za serikali..haijalishi ilikuwa ni katika hatamu ya nani!
hawa wanahudumia zaidi ya wananchi milioni 40!!Takwimu za W/afya.

lakini kwa uchache huo 300 zaidi "wamefukuzwa".. mamia wakiwa wamehama nchi na wengine wakiwa wamehamia sekta binafsi!

Ikiwa una madaktari haohao na umeweza kupandisha average ya "life expectancy" ya Mtanzania kutoka miaka 50 mpaka 58. Sema ni kwanini ikawa hivyo?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom