Brigde course

Persie

Senior Member
May 2, 2012
188
15
Eti jamani brigde course ya st. Joseph university inachukua muda gani?
 
samahan mkuu naomba unisaidie...unapoongelea bridge course unamaanisha nini ?

hii ni kama short courxe ambayo itakufanya wewe ujiunge na chuo hcho moja kwa moja na mwshon huwa kuna mtihani ukifaulu unajiunga na chuo moja kwa moja.hii inachukua miez mitatu 3.
 
kwa bridge courxe ya st.joxeph ni sh 150000 kwa diploma,

mfano kama mm nimaliza form six nina 3 points 17 EGM naweza kuisoma hiyo alafu nikiimaliza naingia chuo kuchukua degree au ndo diploma
 
Back
Top Bottom