Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,130
Hizo strength, nataka kukubaliana nazo, nataka kuona kuwa haziko biased, nataka kufikiri inawezekana hawa jamaa kwa namna fulani " MOST LIKELY" wako sawa ... But my conscience signal a reasonable doubt!!! ...Najiuliza report imelenga kushinda nini? .. sina shaka nitaelimishwa!
Naagalia hizo weakness, Naamua kukubaliana nazo. Kama nitakuwa sahihi nasonga mbele nachukua effects za weakness zote nazipambanisha na strength namba mbili .... naona kama stable neutralization and equation moving to right to form a neutral homogeneous state ... kwamba vimejimaliza vyenyewe!! Hawa walifunga magoli mawili kipindi cha kwanza na wenzao wakayarudisha kipindi cha pili!
Na nivipi hiyo itaacha a stable political situation? Wakati kati ya jeshi la polisi na jeshi la ulinzi wanasambaa mtaani ku stabilise?